Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Sasa sijui kama hii ni siasa au vipi lakini bado akili yangu imeshindwa kuunganisha ninachokiona na tafsiri yake kwenye ubongo wangu. Naomba mnisaidie:
Last edited by a moderator:
Sasa sijui kama hii ni siasa au vipi lakini bado akili yangu imeshindwa kuunganisha ninachokiona na tafsiri yake kwenye ubongo wangu. Naomba mnisaidie:
Labda tunaagiza samaki kwa soko la wenye kipato cha chini. Wavuvi wengi siku hizi wanauza samaki wao moja kwa moja kwenye hoteli za kitalii. Samaki wanaobaki huko ndio upelekwa mnadani...Tunaagiza samaki kwa sababu hatuna samaki, au tunaagiza samaki kwa sababu hatuna uwezo wa kuvua samaki? au tunaagiza kwa sababu tusipoagiza tutakuwa kama hatuna uwezo wa kuagiza?
Tunaagiza samaki kwa sababu hatuna samaki, au tunaagiza samaki kwa sababu hatuna uwezo wa kuvua samaki? au tunaagiza kwa sababu tusipoagiza tutakuwa kama hatuna uwezo wa kuagiza?
Tunaagiza samaki kwa sababu hatuna samaki, au tunaagiza samaki kwa sababu hatuna uwezo wa kuvua samaki? au tunaagiza kwa sababu tusipoagiza tutakuwa kama hatuna uwezo wa kuagiza?
Mzee Mwanakijiji sorry, tunaomba ufafanuzi kitu gani hicho ambacho hujaelewa? Ni huko kuimport samaki au? Kama ndicho kwani ni kitu gani ambacho hatuimport? Tunaimport kila kitu, kuku, mboga za majani, tomato/chili source, mayai, nguruwe (kiti moto) na vingine kwanini tusiimport samaki? Then tunalalamika kwani shilingi inashuka kila siku against US $, huku ni zaidi ya kurogwa si bure. Lakini pia sishangai binafsi sishangai kwani huyo mmalawi anayeongoza wizara ya fedha degree yake naambiwa hata kuku au nguruwe angeweza kuwa nayo so what else should we expect from him?
Mzee Mwanakijiji, nini samaki!, tunaagiza maziwa, kwenye ma supper markets yetu, maziwa karibu yote ni imported sababu pekee ni eti hatuna maziwa ya kutosheleza soko la ndani. Wakati kwenye ranch ya Kongwa, maziwa yanakamuliwa na kumwagwa ili ngombe wasiugue!. Lowasa alilazimisha yagawiwe bure kwenye shule za jirani, tatizo likawa namna ya kuyafikisha tuu hata hapo shule za jirani!. Tanzania ni nchi ya tatu kwa mifugo barani Afrika, ukiondoa Botwana na Namibia, lakini ndiye importer mkuu wa maziwa ya Kenya, let alone blue band na vikorokoro vyake japo ni margarine, wanaita siagi!.Tunaagiza samaki kwa sababu hatuna samaki, au tunaagiza samaki kwa sababu hatuna uwezo wa kuvua samaki? au tunaagiza kwa sababu tusipoagiza tutakuwa kama hatuna uwezo wa kuagiza?