VIDEO: Gwajima akiiumbua serikali ishu ya Ulimboka

Kibaya zaidi wanaonekana kutoelewa hata taratibu za makanisa e.g. taratibu za kuungama and the like. Pamoja na kwamba ni makanisa ya kikristo lakini pia yana taratibu tofauti -si kila kanisa watu wanaungama kwa kiongozi wa kanisa.Pamoja na kwamba kuna makanisa mengi yanafanya usanii lakini si yote. Kuna watu hawawezi kukubali kuchafuliwa at any cost. Ninachojiuliza ni watu wangapi huwa wanasoma hiyo ripoti ya polisi kabla Kova hajaja kuisoma mbele za waandishi wa habari? Je hao waliopewa copy waliona inafaa kuisoma mbele za watu? Je nani aliongezea chumvi kwenye hiyo ripoti? i.e. huyo mtu alienda kutubu kwa Mchungaji wakati kumbe hata hakuonana na mchungaji. Je Kova mwenyewe aliisoma hiyo ripoti kabla yakuita press conference? Nionavyo mimi kuna mawili: either they(Kova & co) don't care or their very dumb that they can't even figure out a "smart" lie.
Nia yao ni kuuneutralise unyama wao kwa kuingiza hisia za udini maana tayari umeshaota mbegu udini.Kwa wenye kuamini nadharia ya kwamba huyo mtu katumwa,then watajiuliza why kanisani na wakati aliyetajwa ni hemedi?
 
Haya wakuu nimeinyaka hii kitu sehemu jinsi alivyofunguka ...
ichekini wenyewe


muda si mrefu utasikia na yeye kaokotwa mabwepande au kanisa lake limefutiwa usajili au ni freemason au ni drug dealer... chezea TISS NA SERIKALI YA MAGAMBA WEYE


Hapa mambo ni lugha gongana sinema linaendelea siye yetu macho
 
Last edited by a moderator:
Hivi kumbe Ulimboka alimtambua Msangi? hivi sasa huo uchunguzi wa nini hivi Watanzania kweli tuna akili kukubali ujinga huu?
 
Kova bana! Eti kama mnavyojua "...watu wakenda kanisani huenda kutbu madfhambi yao..."

Papa Kova naona umeamua kuwa kama mpira wa maambukizi hatari ya VVU!!! Hahahahaaaaaa.......
 
Back
Top Bottom