VIDEO: Gwajima akiiumbua serikali ishu ya Ulimboka

KANDA MBILI

Member
Jul 9, 2012
57
54
Haya wakuu nimeinyaka hii kitu sehemu jinsi alivyofunguka ...
ichekini wenyewe


muda si mrefu utasikia na yeye kaokotwa mabwepande au kanisa lake limefutiwa usajili au ni freemason au ni drug dealer... chezea TISS NA SERIKALI YA MAGAMBA WEYE
 
Last edited by a moderator:
Kauli ya Mchungaji Gwajima ni ushahidi kwamba serikali yetu inazidi kuishiwa uhalali wa kuongoza nchi na pia ni ushahidi kwamba wananchi wa kada mbalimbali wameichoka kiasi cha kutokuionea aibu tena aisee!
 
sasa Gwajima ajiandae kupambana na jeshi la polisi , TISS na serikali....itakua ngumu kumuachia kimya kimya, watamtautia scandals tu.

Ikibidi waumini wa Gwajima wakafyeke msitu wa MabwePande haraka sana!
 
Hivi ni kwanini hakufikiria huyu jamaa akamatiwe pale Mtambani?Labda wangesitirika kidogo :wacko:
 
Nilivyoona press conference ya Kova niliamini Gwajima kawekwa mfukoni, dili limechongwa vizuri, nilikua nasubiri Gwajima aje na kuelezea vizuri jinsi tukio lilivyotokea !

Sasa sijui nani kamuingiza Kova "chaka"....aliemshauri Kova kuitisha press conference itabidi ashugulikiwe, mimi siamini Kova ni mjinga namna hiyo, lazima kuna watu wake walimwambia kila kitu kiko sawa .....la sivyo kuna sehemu kaikosea serikali, na sasa serikali "inamuundia zengwe"...ili imtoe kwenye kiti chake.... Kova akitaka kulinda heshima yake ....aanze kusafisha jeshi la polisi na kuanza kwa kuwaondoa hao waliomletea hiyo report ya "kichaa wa Gwajima" ...
 
Wana Jamii Forums mnatisha, kweli huu ni mtandao wa Ma-Genious.
kama umesikiliza vema maelezo ya Mch. Gwajima jana, utagundua waziwazi kuwa, nukuu zake muhimu
zilitokana na michango ya wana-JF. Ukianzia issue ya yule Mafia-ACP Msangi, mpaka habari ya ndani kabisa ya migomo ya madaktari. Hii inaonyesha kuwa JAMIIFORUMS ni tegemeo hata kwa wakuu wa Dini..BRAVO!!!!
 
Hata usalama wa Taifa ,viongozi wa vyama vya siasa ,manjagu na wengine tele wanafaidika na michango yangu.
 
Unajua hawa polisi wepesi wanaleta majibu mepesi,kwa akili ya huo ni upepo tu utapita.
 
Back
Top Bottom