VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

Huo ni ushahidi tosha kwamba tume huru inahitajika kuchunguza hilo tukio. Serikali (Ikulu) haiwezi kujisafisha kwa hilo.
 
Daaaah ni hatar,Jaman kung'olewa meno na kucha ndo kinachoniuma kias kwamba nataman niandamane
 
Aisee! Kwa namna hii, halafu eti wanaunda tume! Tume ya watuhumiwa, tume ya kulazimisha, tume ya kutengeneza, kupanga mipango na kupika matokeo. tume isiyoaminiwa na mtu yeyote makini anayejua...Worse enough tume isiyokuwa na uhalali.

Hivi kama mikono yao haina mawaa katika hili, wanaogopa nini kuunda Tume Huru.

Muda mfupi kidogo uliopita nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV, naona viongozi wa dini (labda mkulu tawasikiliza) wamejaribu kusisitiza the right perspective ya suala la mgogoro wa madaktari na hili la Mpiganaji Ulimboka. Wamemtaka Rais asikilize sauti ya umma na viongozi wa dini. Wamemwambia atoke wakutane na madaktari awasikilize, maana amepotoshwa.

Thanx Invisible for the job well done.

Tuendelee kumtakia heri mpiganaji Dkt. Ulimboka apone haraka na kurejewa na afya yake, kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili.
 
Mkuu Invisible nasikitika kukosa hii video kwani natumia simu yenye mp3 waweza kunisaidia?
 
JK atakufa vibaya kama ni yeye kawatuma kumfanyia Uli hivi,mungu aliye hai atamuadhibu tu
Kikwete ameua Vijana wetu bila huruma akiwaacha wajane na wazazi wenye majonzi for rest of their life. no one live forever.
 
Huyu bwana akipona kabisa na akarudia uzima kama aliokuwa nao mwanzoni basi kingwendu atakuwa next president. Wapigaji walikuwa wanajua vizuri wapi pa kupiga kwa lengo la kuua ama kumpa kilema cha maisha.
 
Daaa pole yake Dkt, Mungu atamjahalia apate wepesi wa kupona haraka aje afunguke vizuri wa Tanzania wajue ni nani anausika
 
Mkuu Invisible naomba uweke katika format ( eg VLC) tunayoweza kuona na sisi mimi natumia PC lakini hii clip
inanileta hii MSg

pixel-vfl3z5WfW.gif


The Adobe Flash Player or an HTML5 supported browser is required for video playback.
Get the latest Flash Player
Learn more about upgrading to an HTML5 browser
 
Last edited by a moderator:
Serikalini wapo wataalamu wa digital forensics lete mkanda original tujue kama haujawa doctored kukidhi matakwa yenu, hata mtoto wangu anaweza ku-edit mkanda akaweka sauti ya nyani dume, mnao mkanda orginal uwasilisheni kwa kamanda kova unafanyiwa forensics analysis kujua kama hayo yaliomo humo ya ulimboka, mara ngapi hapa zinatolewa sauti ya usama na inathibitishwa sio sauti yake, acha kushabikia usilolijua au utaalamu nalo huo mkanda tu kama mkanda mwengine na kwa taarifa yako haukubaliki mahakamani kama sehemu ya vielelezo ikibidi.
 
Invisible asante sana . Kipande kingine utamalizia lini? CCM chama cha mauaji,mafisadi,mwabepande,...unaweza kuendelea.
 
Siku yakikufika ama ndugu yako wa karibu ndipo utatambua ni kwanini tunapinga huu uharamia!
serikalini wapo wataalamu wa digital forensics lete mkanda original tujue kama haujawa doctored kukidhi matakwa yenu, hata mtoto wangu anaweza ku-edit mkanda akaweka sauti ya nyani dume, mnao mkanda orginal uwasilisheni kwa kamanda kova unafanyiwa forensics analysis kujua kama hayo yaliomo humo ya ulimboka, mara ngapi hapa zinatolewa sauti ya usama na inathibitishwa sio sauti yake, acha kushabikia usilolijua au utaalamu nalo huo mkanda tu kama mkanda mwengine na kwa taarifa yako haukubaliki mahakamani kama sehemu ya vielelezo ikibidi.
 
Back
Top Bottom