VIDEO: Baadhi ya waZanzibar wapinga muungano, baadhi wako tayari kujitoa muhanga!

Hakuna cha kura ya maoni wala nini. Hatuwezi kurusu wapuuzi wavunje muungano ili watuletee ugaidi.

Najisikia kichefuchefu kuwasikiliza hawa jamaa, kuna jamaa mmoja ambaye mpaka sasa anajua aliyefanya mapinduzi zanzibar ni Karume. Sijui hamfahamu jamaa anayeitwa OKELO? Karume anayemsema hakuwepo kati ya watu waliofanya mapinduzi, alionewa huruma tu na haka ka bwana mdogo kutoka Uganda Fiedel Marshal OKELO.
 
Kuendelea kumsakama Jussa na Maalim Seif ni kuonesha kuwa hujui kinachoendelea Zanzibar. Haya mambo hayako tena kwenye uwezo wa Jussa wala Maalim Seif. Mmewanyima uhuru wanasiasa kwa kuwabana kikatiba ,nini waongee na nini wasiongee lakini sasa dini ndio inachukua mkondo wake.

Hapa hakuna maslahi binafsi, na hii dini ndio inawaunganisha wazanzibari wote. Nyakati za kuburuzana zimekwisha.
Dah...kweli wenzetu mna dini...mola atujalie uhai tuone kitakachotokea baada ya huu muungano kufa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom