Kila kitu kijadiliwe hakuna ubaya kuongea tatizo kwenye demokrasia zote extreme views ndio hupewa sauti kubwa ilhali watu wengi wapo middle ground.
Muungano ni mzuri ila kama ndoa kuna mapungufu na dawa yake sio kuuvunja ila ni kujadiliana tulipotoka, tulipo na tunapokwenda. Tukubali tusikubali sisi ni ndugu kuna wapemba na waunguja wengi bara na sasa hivi kuna wabara wengi tu Znz kuanzia wamasai waliopo Kendwa na nungwi mpaka wafanya biashara mbalimbali Wachaga, wapare, wakinga kibao tu wapo unguja. Na hivi sasa tukiwa kwenye mchakato wa EAC na katiba ni wakati murua pia kuongelea muungano wetu.
Muungano ni watu nasi watu wetu wengi wameshaungana ama kwa ndoa, makazi au biashara. Kama watu wananganganiza basi tuwe na kura ya maoni watu waamue, mimi muungano naufagilia sana na najivunia nao siku zote, sisi wote ni waswahili na tusilite mambo ya ukabila hapa mbaya sana...