VIDEO: Akili ndogo kutawala akili kubwa

Jomba weeeeeee kumbe jamaa jembe ivi! Swali ivi ni sera ya chadema au maana kila M mbunge wa hichi chama machachar kweli kweli!
 
...dadadek ...Kusini MAJEMBE,Kati MAJEMBE, Mashariki MAJEMBE, West MAJEMBE, North MAJEMBE!!!.....

......magamba NUKTA!!!!
 
Ingawa sjaona video yenyewe ila kama ni msigwa huyoni habari nyingine, ukiona mbunge anachuliwa na haya maccm ujue ilo jembeee, viva msigwaaaaa
 
Asiyeisikiliza hii atakuwa na lake jambo......................Ung ebadili heading kuwa MH . msigwa anahitajiwa na wananchi wa Kenya.........maana wachangiaji wengi wanataka aende kenya eti.........akalisaidie bunge la Kenya

 
Last edited by a moderator:
Naona ile speech ya Msigwa imekuwa sawa na mojawapo ya speech za viongozi kama Nyerere
 
Kanimaliza alipowaambia Wabunge wa CCM wanazu gumza maneno ya kwenye kanga badala ya kujadiliana hoja za msingi. Hapo kapigilia msumari wa ukweli.
 
Kasumba ya chama kimoja na hata mawazo ya kikoloni hayajatoka vichwani mwa watu,watanzania tubadilike kuwa na mawazo mbadala sio dhambi, ndio kitu pekee kilichoinua dunia hii kimaendeleo.
 
Aisee kweli msee wangu,

Hhifi Dj kasoma mpaka wapi file??? na anaongosa waso... wasomi kweli!
 
Duh!Ama kweli chadema ni noma,hapo ndipo inapodhibitika -"GWANDA moja=GAMBA mia.
 
Back
Top Bottom