kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 733
Tuelekeze mjadala kwenye hoja na sio ooooohhh chuo cha kata ooohh mwandiko.. Inawezekana ikawa ni makosa ya kibinadamu ambayo ni ya kawaida na tunatofautiana kutoka mtu mmoja na mwingine lakini unapochangia jiepushe na kasumba kwa ulisoma udsm, mzumbe au sua na kusema udom chuo cha kata wanafunzi wake ni division 5, utakuwa unakosea sana kwa mtu mmoja hawezi akawakilisha wanafunzi zaidi ya elfu 20. kwa hiyo jiepushe na inductive reasoning... UDOM nadhani ni taasisi kubwa huwezi conclude kuwa huyo mtoa mada hawezi kuwakilisha wanafuzi wa UDOM