Ok..hawa ndo wanaoshiba kwa kumwaga damu za watu
........halafu sisi (TZ) eti tuna-facilitate.........!! halafu tunalalamika eti wakimbizi.........halafu eti sisi (TZ) ni wakombozi.......!!
Ok..hawa ndo wanaoshiba kwa kumwaga damu za watu
Hivi kama wabunge wenyewe wameridhika na siri za kijinga za serikali, kwanini sisi wengine haturidhiki? Kama wabunge hawataki kujua kilichofanywa kwa jina la nchi yetu, kwanini wengine sisi tumeng'ang'ania kana kwamba sisi tulichaguliwa na wananchi? NI maswali najiuliza tu labda wakati mwingine tukubali kuwa wao ndio serikali na wenye nchi!!
The film Darwins nightmare focused world attention on this Tanzanian port and threatened to expose our government's role in arms dealing. It was no surprise our leadership panicked and the fear was transformed to uncalled for anger directed at the film maker, tuendelee !!
I didnt know the connection before. Je ni nani mwenye uwezo wa kuiwajibishaserikali yetu kwa madhambi yote hayo? Tutaishia tu kuzungumza?
Victor Bout - A Russian arms dealer and merchant of death !!
Two of his registered area of operations
by use of forged end-user arms certificates were
Kindu in the Congo &
Mwanza in Tanzania.
na sasa tuendelee.......
currently - serving a prison sentence ?
Duuu!!!!!! Lakini ilishasemwasemwa huko kuwa yale madege ya Kirusi yaliyokuwa yakimiminika Mwanza kwa kisingizio cha kubeba minofu ya sangara si ya bure.
Jana Katuni ya Kipanya ilikuwa inauliza, "Kwanini viwanda vya samaki vinajazana Mwanza tu? Mbona miji yote ya pwani ya bahari ya Hindi haina hata kimoja?" Hivi ni Mwanza tu ndo kuna samaki wa kutosha kusimika viwanda?
Sasa natafakari na kuunganisha mambo.... Inatisha.
Mimi naogopa hata kuchangia kuhusu hili.
Mzee mwenzangu, La Meremeta linajulikana wazi.....
Hapa mi naona blue blue tu, sana sana napata hofu! Siamini kama ninacho kisoma ndicho. God forbid
I'm really tempted to go all the way; but I won't do this time. Not worthy it. Kama wabunge waliochaguliwa na wananchi wanaogopa na hawako tayari kwanini wengine tujihangaishe? The connections between the four elements in the subject line are scary at least and deadly at most! (literally!)
We have surrendered out sovereignty as a nation to a corrupt regime, a regime that has abused power and defendend those who have abused power in so many ways and in so many times. A regime that will not on its own reverse course and return our nation to "we the people". A regime that will not tolerate a democratic challenge nor create an environment where such a challenge could take place.
The Meremeta issue if pursued to the fullest extent of possibilities will unveil a clear and obvious failure in leadership and would result to criminal charged to be leveled against the following:
- Ex President Benjamin Mkapa
- EX Attorney General Andrew Chenge
- EX Chief of Defence Forces Robert Mboma
- Ex Secretary of the Defence Ministry Vincent Mrisho
- and others who at the moment I choose to hold them in pectore! The people connecting Victor B. and some corrupt government officials in the Tanzanian Government!
I really would have dared to venture where no MP has dared to.. lakini hilo lingenifanya nifanye kile kinachotakiwa kufanywa nao. Kwa vile wawakilishi wetu wamekubali kupumbazwa na maneno ya kiwoga, then hivyo ndivyo taifa letu liongozwe.
Clue: Kwanini serikali ilireact kwa ukali sana kuhusu filamu ya "mapanki"?
answer: tafuta ripoti yangu ya "Tracing Reports" ya mwaka 2006 iliyopo somewhere here!