Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
223
Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......

Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.

Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.

Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......

Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.
 
Inaelekea hiyo ofisi inalipa sana maana we ni mtu wa nne kulalamika.
 
Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.

Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.

Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......

Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.

Na wewe acha kujambisha, kama una madudu yake mwaga hadharani twende sawa, kwani nini bana?
 
Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako pamoja na jamaa zako ungeamua moja kwa moja kuwaweka kuliko kusumbua watu na kuwapotezea muda wao na tambua muda una thamani kubwa.

Iko siku na wewe utaicha ofisi hiyo na atashika mtu mwingine kwani ofisi hiyo ni taasisi inayoheshimika sana Duniani kwanini wewe Tawi la Tanzania unaliharibu kwa kuleta undugu kwenye ajira? Heshimu taaluma za watu na wewe utaheshimiwa.

Ukibisha tutatoa mambo ya ndani kwenye ofisi hiyo tunakuomba uache...Ile documentary isikupe kiburi sana naona kwasasa una nyodo nyingi kwa hako kacheo......

Naswasilisha.....Vicky tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa acha hizo.
haya mambo ya undugu kwa kweli ni issue. Sometime wengine wanamix na kaudini kidogo.
 
Hamna vikao vya ofisi hadi ulalame hapa? Hii njia uloitumia sidhani kama itatatua tatizo lililopo mkuu vinginevyo yatakuwa ni majungu tu!!!!!
 
Vicky mtetema aliacha kazi ya utangazaji majuu huko naona kaja kwenye NGO kula mambo!! Mzee wa njaa weka mambo hapaaaaaaaaa!
 
Nachukia sana mambo ya undugu maofisini, majitu yanaajiriwa hayana hata sifa mnaishia kuyafanyia kazi zao...shit!
 
pole mkuu, Muombe Mungu atakupa kaz isioitaji refa, achana vick mtetema ipo siku ataachia
 
hahahahahaaaa......aseeeee!!!?
Kumbe?!!! Ngoja tutafanyia kazi hii makitu hii....yani offiece imegeuka botique? Anaweka ndugu wa ndugu na mashoga zake?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom