KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Vipi hizi .........Itakuwaje jumatatu hiyo kwenye magazeti, na media zingine?gazeti gani kucheka, na lipi kununa au kutoripoti kabisa!NiUhuru,Mzalendo au Tanzania Daima kunyamazishwa?Binafsi nahisi itakuwa hivi:
1. .............NI PIGO KUBWA SANA CCM
2.CCM, MWIGULU WAKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA
3.NEC YAGOMA KUTANGAZA MATOKEO,yasema miundombinu ya Arusha na Computer zagoma
4.Gazeti la Uhuru.....KIKWETE AZURU IRINGA-irrelevant
5.TBC............MAGUFULI APIGA MKWARA KARIAKOO-irrelevant
Mwanajamii unadhani vichwa vya habari magazeti na media zingine vitakuwaje jumatatu hiyo?
1.Dogo janja afunika mbaya؛............sioi arejea Dsm kichwa chini
2.CCM Washikwa pabaya.......Sioi apwaya!
3. CCM Wapoteana Arumeru.....Mwigulu alazwa baada ya kupata mshtuko!