vichwa vya habari magazeti yote ya leo jumamosi

... Mzalendo, na la Mfanyakazi, mbona hujaweka?
 
... Nimeiona Heading ya Mtanzania'
je ya "Al Nuur" inasomekaje?
 
Watu hata shukrani hamna?! ... angalau kwanza mngemu-appreciate kwa kuweka angalau magazeti hayo alafu mumuombe awatafutie mengine manayoyataka nyie!

Hata like hamjamgongea mnaanza kumlaumu!

pilipili husiyoila...
 
Kaka fanya hisani tupate An Nuur na Zanzibar Leo, nina hamu ya kujua ratiba za Maulid na Khitma
 
Hivi ndio kusema CUF huwa haina hata mtu mmoja mwenye akili?

Hivi kusema TEMEKE ni ngome yao, ni akili za bata maji au kuku maji? Kama mnaamini Temeke ni ngome yenu mna haja gani ya kupiga kelele? Si mtulie tuwaoneshe kazi kama ile ya Mtwara wakati wa M4C, manake nako mlisema ni ngome yenu, mnachefua kweli kweli na hizo harakati za kumfurahisha mume wenu
 
Kaka fanya hisani tupate An Nuur na Zanzibar Leo, nina hamu ya kujua ratiba za Maulid na Khitma

wakuu muwe mnafatilia leo siku gani,magazeti mnayotaka uwa ayatoki jumamosi,yangekuwepo leo ningeyaweka,ila jumamosi ayatoki
 
Watu hata shukrani hamna?! ... angalau kwanza mngemu-appreciate kwa kuweka angalau magazeti hayo alafu mumuombe awatafutie mengine manayoyataka nyie!

Hata like hamjamgongea mnaanza kumlaumu!

wambieeee,mwingine anataka tanzania daima wakati nimeshaliweka juu,sijui anataka ninunue nimtumie kwake,wengine tena wanataka magazeti ambayo jumamosi ayatoki,sasa sijui apo
 
Back
Top Bottom