Vichwa Hivi vya Azania Viliishia Wapi?

Azania class, 2000-2003, niweke kumbukumbu sawa, mwaka wetu ilitoka point saba ya rashidi tulisindo, 8 mmoja ya jamaa mmoja sauti kubwa anaitwa aloyce mtenga, tisa zilikuwa nyingi ila naikumbuka mmoja ya albert maira,katika hawa maira alirudi na point tatu form six, nawasilisha
9 nyingine ni ya mwaramy yule anafundisha tuit kule kkoo
 
Duuh nasie tukianza kuizungumzia ile azania ya kima marehemu yudika mremi wa dar xpress sijui kama mtakumbuka kitu maana wengi mlikuwa bado kuja mwa hii dunia yenye kila mateso.
 
Daahhh...Mi nilimalizaa 2008 aseee...kuna watu humuu baba zangu yaan..
The same to me mkuu ,wakati tunaingia pale tulimkuta kwayu ila form2 akatuaga,unamkumbuka scramble? Kama hujachomekea tu unazaa nae..kuna ticha 1 wa math ni mrefu na ni hadim sana ila akija tu anakata nusu topic au topic yote,wayback mkuu ila nimezimiss sana zile moments....me nafikiri kuna umuhimu mkubwa wa kutengeneza azaboy community ili tuweze kusaidiana,kushauriana na hata kuwainspire wadogo zetu hasakwa wale waliofanikiwa zaidi,,,,azaboy we will never forget u
 
Form 4 L 1999-2002kuna vichwa kama octer javet yupo MUHAS,amiri malengwe yupo SA,victor koroso ,onesphory paul,mayagi nyega, sjui wapo wapi
 
Woah....this has been eye-opening...nilikuwa sijui azaboy 97 walikuwa the best....point 7 zilikuwa chache....inasemekana the best 1.7 ilikuwa na jamaa anaitwa abdil...Sasa ni lecturer udsm nimesikia. Joel Wilson Alipata 1.7 in 92 Nafikiri. Mtiga too.... I left azania in 1995 o level; went back for high school and left in 1998. I don’t know how I missed out on the class of 97 o level. I wasn’t paying attention to o levels.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom