Vichwa hivi navielewa sana kwenye tamthilia za kikorea

Mi namkubali sana huyu jamaa,kwenye hii movie aliitendea vyema sana.
images

Akaja na kitu kingine hiki hapa,hutojuta kupoteza muda wako kuangalia hii kitu.
images
Gwanggaeto Hii huwa naipenda sana
Daemdok hicho kichwa ni Hatari
 
Nani anasema kwamba Jumong hamfikii Jang Bog?
Tizama kwenye A Man Called Himself God hapo ndiyo utajua Jumong ni nani.
All in all jamaa wanajua hadi wanakera.
Kwa sasa niko na kitu kinaitwa Kim So Roo kinatisha mbaya.
Nikimaliza naangalia Blood tena
 
Umeiangalia Dae Jo Yeong..?
 
Nani anasema kwamba Jumong hamfikii Jang Bog?
Tizama kwenye A Man Called Himself God hapo ndiyo utajua Jumong ni nani.
All in all jamaa wanajua hadi wanakera.
Kwa sasa niko na kitu kinaitwa Kim So Roo kinatisha mbaya.
Nikimaliza naangalia Blood tena
Mkuu hiz series unazipata wapi mkuu.. afu ni zile za maisha ya zamani mapanga shaaaa au za mjin town magari magari na bastolaaaa
 
jang bogo labda ampambanishe na madame jammy
hivi umewahi kuangalia movie ukajikuta unampenda adui kuliko star??!!!
ndicho kilichopo kwa upande wangu kwenye EMPEROR OF THE SEA
 
  • Thanks
Reactions: ora
Mkuu hiz series unazipata wapi mkuu.. afu ni zile za maisha ya zamani mapanga shaaaa au za mjin town magari magari na bastolaaaa
Blood na A Man Called Himself God ni za mjini
lakini Kim So Roo ni ya historia.
Kuna mtu alinipa hizo na huwa naagizia kwa jamaa angu mmoja wa KKoo
 
Sawa sawa. . Huyu skylord simkubali ki vile .. but huyu mwingine na mkubali sana. Si yupo pia kwenye series ya slave hunter..???
yes..
sky lord
hanaga mchezo mchezo..
huwaga napenda waigizaji ambao
hawana mchezo mchezo, hawana muda wa kupoteza, wanapiga tukio tu afu wako makini..
hawaathiriwi na mapenzi na vitu vya kijinga jinga..
hicho ndo nnachompendea skylord..
ni muigizaji makini kuliko..
 
Hapana skylord ile series yupo na mapenz na yule mwanamke na mtoto wake.. unakumbuka. .??
 
Back
Top Bottom