Vichwa hivi navielewa sana kwenye tamthilia za kikorea

Cjawai ziona izo series itabidi nizifatilie
Anza na hiyo Dae Jo Yeong...
Hautojutia mkuu..!!!
fullsizephoto72691.jpg
fullsizephoto69243.jpg
 
Mi namkubali sana huyu jamaa,kwenye hii movie aliitendea vyema sana.
images

Akaja na kitu kingine hiki hapa,hutojuta kupoteza muda wako kuangalia hii kitu.
images
 
Kama ww ni mpenzi wa series za kikorea nadhani ushawai kuviona ivi vichwa kwny series mbali mbali..

Kwang mm hawa ndo best favorite actor of all time kunako series za kikorea
Dae gil jamaa ana jua sana check slave hunter ;Chuno
 
Ahahaha Great Queen seondeok,Dong yi,Empress Ki,Kings Daughter, Iljimae,Great King Gwanggaeto,Chunk slave Hunter my best Korean drama,best actor and actress,Kim Nam Gil(bidam) Alceon rang,Yusin Rang,Lord Chunchu,Deokman,Dong yi,........Bidam the best funiko bovu
 
Uyo jamaa bidam ni kwikwi
 
Haha ha h mtu anaanaligalia muv mpaka analia na anajiita mwanaume.. yaani unalizwa na maigizo? Kweli wabongo bado sana...
 
Haha ha h mtu anaanaligalia muv mpaka analia na anajiita mwanaume.. yaani unalizwa na maigizo? Kweli wabongo bado sana...
Kaka hawo jamaa wanajua ku act yaani kama machozi yapo karibu lazima yakudondoke tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom