VICHAPO vya MAN UTD vinaniharibia UHUSIANO Wangu! Wapi RVP?

Hahahahahahahahahaha
hivi huyo humfanyi zombie?
Hahahaha
ninge shangaa sana wewe kutozingatia pochi!

Kwakweli hapo kwenye mechi umeniacha hoi sana.

Kuna watu wakifungwa huwa hawali hata chakula.

Chezea Mtu Mzima Kuzima TV yake na Kusepa na remort ili mu mwengine asije kuwasha bure, hata akiwa chumbani akasikia! LOL! Ndo sina pa kutizamia mechi jmosi, nilishanyea kambi hivooo!
 
nakusikitikia weekend hii na mechi ya newcastle vs manutd sijui utaangalia wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom