Vichaa wodini

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Vichaa wawili walilazwa, sasa pale wodini wakajadili jinsi ya kutoroka pale wodini. Wakaafikiana kwamba wakifika getini wampige mlinzi, mlinzi akikimbia wao watoke nje ya geti kisha watoroke. Wakaondoka wakaenda hadi pale getini, walipofika pale wakakuta geti lipo wazi ila mlinzi hayupo. Wakanong'onezana "dah! Dili limeharibika mlinzi mwenyewe hayupo" kisha wakarudi tena wodini!
 
Wavuta bangi wawili walikuwa wanaangua maembe kwa mawe yakawa hayadondoki mmoja akamwambia babuu eeeeh ngoja nipande juu nikayacheki vizuri akapanda akayaangalia na kukuta mawili yamelegea akashuka na kumwambia mwenzake oyaaa eeeeeh yameshalegea bado kidongooo tu yataanguka tuendelee kurusha mawe wakaendelea kurushia mawe
 
Unaweza kuwaona hao vichaa hamnazo lkn mm nasema kwamba wana akili nzuri sana. Hivi ingekuwaje kama wangetoroka bila kujua alipo mlinzi na baadaye wakakutana naye nje? Ndo maana walitaka kwanza wamdunde wamwache hoi kisha waondoke kwa uhakika. Kwanza hao jamaa washapona kwa vile vichaa wa2 au zaidi hawawezi kudiscuss jambo!
 
Wavuta bangi wawili walikuwa wanaangua maembe kwa mawe yakawa hayadondoki mmoja akamwambia babuu eeeeh ngoja nipande juu nikayacheki vizuri akapanda akayaangalia na kukuta mawili yamelegea akashuka na kumwambia mwenzake oyaaa eeeeeh yameshalegea bado kidongooo tu yataanguka tuendelee kurusha mawe wakaendelea kurushia mawe
hao ndo hamnazo!!
 
Back
Top Bottom