Vichaa watoroka

cc_africa

Senior Member
May 30, 2010
121
2
Wendawazimu walipanga kutoroka hospitali lakini kukawa kuna mlinzi,wakapanga wampige kisha wachukue funguo wafungue wakimbie,walipofika mlangoni mlinzi hayuko na mlango uko wazi wakasema 'aah dili imefeli' wakarudi!
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 
Back
Top Bottom