Vicent Nyerere nenda kampeni tena ARUSHA

MARCKO

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
2,258
274
Mimi siogopi Lema kudhulumiwa na Lowasa. Maakama ya mwiiisho kabisa DUNIANI ni UMMA A.K.A ppoooooz. NASARI kapige kampeni A-town.
 
Mungu hajawai kuacha UMMA. Maamuzi ya umma ni mkono wa JAR
 
Kwanza Mkuu Mbowe, RAIS WA UKWELI DR SLAA! Zito, Sugu, Msigwa, LISSU, MDEE, MNYIKA, NASSARI mama weee hivi hii BARCA ya CHADEMA ikiwa pale A town nani atatoka, CCM hawauwezi huu mziki ni watts nyingi mnoo wataishia kupasuka masikio tuu. LEMA usihofu hizo gharama tutachanga tutakulipia tupe namba yako ya tukutumie M-pesa. CCM wezi wakubwa wa mali ya UMMA
 
Mimi napendekeza campaign ya Arusha ipigwe na kila mwanachama wa CHADEMA. Inatakiwa safari hii Lema ashinde kwa asilimia 99. Kura za mgombea wa CCM zibakie za watu wa nyumbani kwake tu.
 
Bado segerea nalo tutachukua maana mahanga hali yake ni tete mahakamani,nina imani na huyu jaji professor labda kama naye anataka afanywe kipofu kwa mijihela ya magamba!
 
Acha CCM wakaendelee kujidhalilisha tena Arusha! Safari hii sijui tutasikia yapi!, maana ya watu kufamu ukoo kuliko wazaliwa wa ukoo wenyewe tumeyasikia Arumeru; Sera mpya ya CCM ya MATUSI imeasisiwa Arumeru; Arusha huenda tukasikia .......!!! ilimradi tu "Lakuvunda halina ubani"
 
Lowasa, mkapa, lusinde, nchemba, nape, jk, wote ni waizi waliuza hata hoteli za wildlife na leo hii tunanyanyasika... Leo hii wakija hapa kupiga kampeni wataishaaaaaa.. Majambazi walioitia nchi matatizo ya umaskini hawa wanataka nini hapa arusha? Kwa taarifa yenu.........tutawabomoa na siri zote za nchi tutaanika... Lowasa anakula sh.100 kila vocha ya sh 500 ya voda unayotumia je ni watu wanapi nchii hii wanatumia voda? Anapata approx 500milion kwa siku bila kuvuja jasho........mkapa atamfufua mwal/ nyerere.. Hao barick wataondoka siki si mingi......... Pumbafuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Hakuna kulala mpaka ..................... ! tutarudisha tu jimbo shaka ondoeni. Plus la segerea tutakuwa na wabunge 50 mpaka mwezi wa 8.
 
Sasa kifuatacho AR ni zaidi ya Arumeru,kila mwanachadema atakuwa front line kupiga kampeni,hii itakuwa ni nyumba kwa nyumba/mtaa kwa mtaa, mtu na mtu na ufanisi wa mbinu za kuikabili CCM umeongezeka kwa %89,
Subirini kipigo chake sasa.
 
Lowasa, mkapa, lusinde, nchemba, nape, jk, wote ni waizi waliuza hata hoteli za wildlife na leo hii tunanyanyasika... Leo hii wakija hapa kupiga kampeni wataishaaaaaa.. Majambazi walioitia nchi matatizo ya umaskini hawa wanataka nini hapa arusha? Kwa taarifa yenu.........tutawabomoa na siri zote za nchi tutaanika... Lowasa anakula sh.100 kila vocha ya vota unayotumia je ni watu wanapi nchii hii wanatumia voda? Anapata approx 500milion kwa siku bila kuvuja jasho........mkapa atamfufua mwal/ nyerere.. Hao barick wataondoka siki si mingi......... Pumbafuuuuuuuuuuuuuuu!

Ok ok hilo la EL kula 100 kwenye voda nilikuwa silijui kabisa,
CHADEMA FOR LIFE.
 
Back
Top Bottom