Vicent nyerere mbuluze mkapa mahakamani for personal attack.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Kitendo cha mkapa kuulizia undugu wa vicent na nyerere kwenye jukwaa la siasa ni wazi kuwa alikuwa na nia ya kumdhalilisha au kumchafua hadharani wakati anawajua watoto wa nyerere na mkewe pia bado yupo hai angeweza kuwauliza na kupata jawabu lake. kwahiyo mhe.nyerere anayo nguvu ya kisheria ya kuweza kumburuza mahakamani for slander or defamation of character.
 
Haina haja kwenda katika mahakama hizi za kifisadi za CCM, huku alikoshtaki kwetu sisi wananchi tulio mlilia baba wa taifa ni zaidi ya mahakama. Tunawaambia watoto wetu kuwa historia imepotoshwa na ukweli umejulikana kuwa Mwl Nyerere aliuwawa na Rais Mkapa kwa tamaa yake ya kuiba rasilimali za nchi. Na watoto wetu watawaambia watoto wao na habari hii itaendelea kwa vizazi vijavyo katika Tanzania. Adhabu hii kwa Mkapa ni zaidi ya hukumu ya mahakama
 
nakubaliana nawe lakini sheria mbaya za nchi hii zilimlinda lakini kwa hili amefungua mwenyewe pazia na kuwanyooshea kidole wabongo kwahiyo ni mwanya mzuri wa ku hit back.
 
walimu kama sisi,atanikoma nitatumia taaluma yangu kutoa elimu kwa watoto kwa watu kama hawa wanaoliteketeza taifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom