Vibweka na vifinyufinyu kutoka Singida

kajoli.com

Member
Mar 4, 2012
42
5
Jamaa mmoja kutoka mkoani singida, aliungana na wenzake kumi kuelekea Bukoba kwenye mkutano wa vijana,
Walipofika huko waliwakuta kina Muganyizi na byarugaba wakioga kwa bomba a.k.a maji ya mvua,
ndipo kijana huyo alipoamua naye kuonyesha mbwembwe zake na wala sio mgeni wa mji.
Kulinyookea bomba ili aweze kuoga. ghafla alisita alipokuta koki zipo mbili yaani nyekundu na bluu.
kwa haraka akaanza kuhamisha vidole huku akiimba ana ana ana do! na kura kuangukia kwa koki nyekundu.
Basi akavua nguo na haraka akajitosa kumbe kafungulia maji ya moto. Tobhaaaa!
Yaliyomkuta nitaelezea akishatoka hospitali :lock1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom