Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!

WE Mkenya,

Its you who needs to learn how to live with what you call positive criticism. After all, you dont seem to understand how to present an argument...but instead you jump into attacking personalities. Dont you see that almost everyone agrees that such sex habit is common in every beach township, including Tanzania? Yet you ask them to learn accepting positive criticism? If you were wise enough, you should have thanked them and argued from that point.

But because you are such a naive and stupid brother, you have failed to hide your true colours and start yelling and attacking people unreasonably ...for a fella like you who thinks he is educated, that is a stink!

You still seem to swim in the old and poor mentality that your English makes you a learned person...you are wrong.

"You have to learn how to stop whining all the time and elevate yourself to what you really can be intellectually" Actually you do things reversely (Reverse psychology?), if you study yourself inwardly, and try to read between the lines, its you who is supposed to learn that!

Your imagination is that such wise quotations have elevated you to somewhere important? By failing to understand that over 80% of contributions here on the sex tourism topic support your argument minus your filthy and poor language, You have actually displayed your poor thinking abilities and probably left most of us dissapointed.

..anajiona mjuaji sana na ustaarabu hana!mwenye hekima humkosoa mtu kwa kumwelesha alipokosea,halafu akamshauri ajirekebishe!

..btw,utalii uko mkubwa zaidi kenya,hili analijua!na huko pwani hayo mambo ndio usiseme,tena vibinti vidogo vinatifuliwa na mibaba ya kizungu bila huruma!hili analijua pia!

..kwanza nshakumbuka chakacha!them mushrooms!na mombasa!
 
..hutoi elimu wewe na hamna anayeitaka hiyo uliyonayo!it's too flawed to educate!

..it smells arrogance all over the place on your posts!

..jifunze kutojiona bora kuliko wengine!ili uishi nao vizuri!

Naona Elimu yake ni duni mno kiasi kwamba sasa inamtesa mwenyewe, pengine anaweza akaishi na UFO! He can Go to hell with his stinking, flawed education!
 
watu wa namna hii nawafahamu sana, nimefanya nao kazi kwa muda mrefu. Huwa wanakimbilia kutisha watu ili wasigundulike ujinga walio nao...maana traditionally wao huwa wanafight kuwa superiors...hata kama hawajui lolote.

KUna mmoja alileta ujinga wake kwa prof mmoja pale mlimani, kwa nature ya arrogance waliyonay watu kama huyu, akawa ana snub maprof na elimu ya bongo. Huyo Prof akamwambia "unajua hata mwanasheria wako mkuu nimemfundisha hapa hapa wewe?" Akabaki mdomo wazi...
 
Shukran kwa email yako lakini nadhani ukakosea anwani...itume huko huko kwa mwenzako Brazameni....nadhani itamfaa sana. The problem with some Tanzanians ni kwamba ata mtu ateme mate kwajili ya homa pembeni njiani eti kwajili ni mKenya mtaanzakunung'unika "eee katima mate siateme kwao huko!" Wewe na huyo umteteae na huyu mwenzako hapo juu jameni msiwe wale nyani wenye hawajioni. When will you learn that rhetoric is the art of communicating by using language carefully, as well as figuratively?

Mi nimechoka kutoa elimu ya bure bwana. Next time utalipa.

Mi nakushauri uache kutumia hilo jina la kenyan - tanzanian. just use kenyan because you dont fit to be a tanzanian. hata hivyo inaonekana huna utaifa wewe, you are hanging brother, thats why you are so bitter and you want to be recognized
 
Wakuu hapo,

Haya maswala yapo mengi sana Tz na siyo Kenya tu. Juzi tu nilikuwa Zanzibar mambo kama hayo yapo kama kawa tu, Ila waTZ tumebana sana vyombo vya habari ndiyo maana unakuta vitu kama hivyo haviandikwi, au waandishi wanaogopa ku-risk.
 
Mkereketwa,

kama umesoma maoni ya watu mbali mbali, wengi tunakubali kuwa haya mambo ya vibibi vya kizungu na mayanki wetu yapo kila mahali, hata hapa TZ, ila huyo mshamba anatukana watu badala ya kujadili hoja, na kwa namna fulani amepotosha mjadala kwa kuuteka tumjadili yeye na mapenzi yake ya kutaka re-cognition!

Kwa hiyo bahati mbaya tumeghafilika tumepoteza muda mwingi kumkosoa approach yake, lakini ni kweli haya mambo yapo hata hapa bongo, wengi tunajua hivyo.

Na hiyo commercial sex, ambayo kwa mapana zaidi ipo karibu kila mahali duniani hapa. Hatuna haja ya kuwa bitter. Pengine ingekuwa busara kujadili hoja kwa ku counter article ya Reuters...kwamba hata kwao UK kuna commercial sex, kwa nini anaona ajabu huyo mwandishi ikiwa hapa?

After all, we can also discuss as to why do those white old girls line up in our beautiful beaches for quenching their sex appetite?

Is it a problem of their men suffering from depression? Is high rates of impotency? Is it due to black man's super shaft? Is it due to too much polution in developed world?

Why do they want our underpants so much that they line up for it?

Or is it due to our poverty? But each of the participant is left with maximum satisfaction...so what?
 
..mambo ya vibibi yapo arusha zaidi!

..zenj vijana wenye rasta wanachukua mademu wabichi kabisa wa kitasha!

..hapa dar wamasaai ndio vinara!

..sasa,issue si kenya wala bongo,bali ni arrogance and ego!
 
WE Mkenya,

Its you who needs to learn how to live with what you call positive criticism. After all, you dont seem to understand how to present an argument...but instead you jump into attacking personalities. Dont you see that almost everyone agrees that such sex habit is common in every beach township, including Tanzania? Yet you ask them to learn accepting positive criticism? If you were wise enough, you should have thanked them and argued from that point.

But because you are such a naive and stupid brother, you have failed to hide your true colours and start yelling and attacking people unreasonably ...for a fella like you who thinks he is educated, that is a stink!

You still seem to swim in the old and poor mentality that your English makes you a learned person...you are wrong.

"You have to learn how to stop whining all the time and elevate yourself to what you really can be intellectually" Actually you do things reversely (Reverse psychology?), if you study yourself inwardly, and try to read between the lines, its you who is supposed to learn that!

Your imagination is that such wise quotations have elevated you to somewhere important? By failing to understand that over 80% of contributions here on the sex tourism topic support your argument minus your filthy and poor language, You have actually displayed your poor thinking abilities and probably left most of us dissapointed.

I have made my point. No more comment
 
Mkereketwa,

kama umesoma maoni ya watu mbali mbali, wengi tunakubali kuwa haya mambo ya vibibi vya kizungu na mayanki wetu yapo kila mahali, hata hapa TZ, ila huyo mshamba anatukana watu badala ya kujadili hoja, na kwa namna fulani amepotosha mjadala kwa kuuteka tumjadili yeye na mapenzi yake ya kutaka re-cognition!

Kwa hiyo bahati mbaya tumeghafilika tumepoteza muda mwingi kumkosoa approach yake, lakini ni kweli haya mambo yapo hata hapa bongo, wengi tunajua hivyo.

Na hiyo commercial sex, ambayo kwa mapana zaidi ipo karibu kila mahali duniani hapa. Hatuna haja ya kuwa bitter. Pengine ingekuwa busara kujadili hoja kwa ku counter article ya Reuters...kwamba hata kwao UK kuna commercial sex, kwa nini anaona ajabu huyo mwandishi ikiwa hapa?

After all, we can also discuss as to why do those white old girls line up in our beautiful beaches for quenching their sex appetite?

Is it a problem of their men suffering from depression? Is high rates of impotency? Is it due to black man's super shaft? Is it due to too much polution in developed world?

Why do they want our underpants so much that they line up for it?

Or is it due to our poverty? But each of the participant is left with maximum satisfaction...so what?

Mkuu naanza kuhisi pia wewe unakosea. Nikiyachunga matusi yako na kaka zako napata points zenu lakini inahitaji mtu awe mvumilivu ndio awajibu.Kabla ya hilo naanza kwa kukufaa hivi: Mtu huwa hasemi ulvyoandika hapo juu ila husema hivi:

" After all, we can discuss why those old white girls line up our beautiful beaches to quench their sex appetite?"

Ndio sanifu sasa eti.Wacha na ndio iwe hoja ya thread hii badala ya matusi mmezopakapaka nafasi hii JF ya waKenya mkikumbuka sisi wastaarabu tangu zamani na hatufanyi hivyo huko kwenye chatroom yenu.

Nasisitiza kwamba lazima tuheshimiane. Wakuu, muwarekebishe wenzenu wasiojua mjadala. Kenya is a sovereign nation state and not an alter ego of another state; whether African or otherwise. Hilo nalifahamike.

How can anyone with the most rudimentary of understanding mount a post with a title as nuanced as "Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!" in a Kenyan blogspot? What is the intention of such a title and the motive of the post? Mheshimiwa from Mlimani yet again you betray that increasingly familiar to most Kenyans,typical, "Bongolanders-cant-hurt-anyone-its only others-who-can-hurt-Bongolanders", mien which, always finds fault with Kenyans in whatever circumstances. Huku tumeanza kuzoea hilo na ndani ya muktadha wa kiHistoria tunawaelewa tuu. Mbona nusu yangu ni TZ?

Chief, yours is the same mentality that makes your comrades to shout anti-Kenyan slogans until the world wonders aloud, when criminals from Kenya are tackled by the Tanzanian police and the masses nail the whole republic. Instead of seeing the criminals for what they are, just criminals like any other, you rope in the whole Republic into your stinging attacks with the casual abandon most of your posts exude. Why dont you have the objectivity (which you pander to) to see that this was a mischievious post aimed at whipping up guffaws against Kenyans...eti yet again wametenda hili na lile!

Doubtless is one thing. You do show some evidence of understanding the CSW problem and its international nature, especially when it dovetails with our tourism industry. A patient reader can glean this from your salvo hereby. The same applies to most of the views posted here by your other comrades-in-arms. Nevertheless, you know as I do it took hard tackling to make you start reasoning. Were we to remain mute as most of your early posts in this thread have fun, mucking the good name of the great republic of Kenya. We, Kenyans, are born with an instinct against any form of domination. Such is the glowing pride we have in the legacy of our grandparents--the Mau Mau generation. Doubt me? Ask the British. No, we dont. You may call this arrogance. It may be. So be it. No regrets. No. Asikudanganye mtu, Kenyans do not take insults facing down. Remember to ask the Professor you cite above to tell you the full story. I bet the young man suffered under him but is nevertheless packing a neat salary having made the good Professor to know that the world abounds with Oliver Twists. You know what I mean.

I urge you all to follow mw brazameni's second post in this thread and sniff the stench of mischief too. Last word. A tautology. No more comments on this issue if it means that the longest posts on this thread are those out to frolick in retrogressive jingoism.
 
Asalamu alaykum.

Je mnajua sababu gani ya hao vijana kuwafata vibibi?

Kwanza kabla kulaumu tungeangalia sababu ya kwuafanya hao vibibi kuwataka vijana wadogo na hao vijana kututiwa na hao vibibi.

Sababu zipo nyingi kwa utafiti wangu mdogo niliowahi kuufanya nimegundua mambo kadhaa.

Lakini kabla hatujenda kwenye saabu suala hilo lipo sana hasa katika nchi za Afrika na sio Kenya peke yake au Zanzibar kama walivyosema wengine ila nakubaliana nao kwamba hata Dar lipo. kw akuongezea tu ni tatizo kubwa ambalo limesambaa sana katika nchi za Afrika tena linakwenda kwa kasi sana.

Jambo la Kwanza umasikini unachangia katika suala hilo, tuanze na Vibibi vinavyokuja Afrika kutembea na kupata wanaume vijana ni kuwa kwanza baadhi yao wanakuwa hawana familia pengine waume zao wamekufa au hawajawahi kuwa na mume maana hilo kwa jamii ya kizungu sio jambo kubwa kuzeeka bila ya kuwa na mume au mke.

Samahanini kidogo situkani lakini ni utafiti wangu huo unasema hivi: Vibibi vya kizungu vinavutiwa sana na mapenzi unajua Waafrika wana nguvu kubwa ya kufanya mapenzi na vile vishindo vyao vinachengua kidogo wakilinganisha na wazungu wenzao kwa hivyo pia huchangia jambo hilo la kuwataka vijana wa Afrika.

Kwa upande wa vijana kuwataka vibibi ni kuwa kwanza tamaa zao za kurithi na kwenda ulaya, kupata pesa, kupata kazi, na wengine kupata watoto wa rangi nyeupe maana waafrika wakati mwengine akili zao?

vijana wengi wamekuwa wakiwasaka wazungu siku na huenda mashamba yenye mahoteli makubwa kwa ajili hiyo na wengine huwa tayari hata kuvunja ndoa zao za waswahili wenzao kwa ajili ya vibibi vya kizungu. hatari sana.

lakini hilo sio kwa wanawake wazee tu ndio wanaokwenda na vijana hata vijana wa kike huchukuliwa na vibabu ya kizungu siku hizi na unaweza ukadhani mtu na yaya wake 'house girl' wake kumbe wife bwana!

utandawazi huo umeshangia
 
Stonejiwe,

hapo umenena mkuu. Hiyo pia inachangia, na wengi wetu tunajua hivyo. Kuna watu wanadhani ni Kenya pekee, lakini si sahihi, ni eneo kubwa. Ni mzunguko wa maisha ambao si rahisi kuumaliza.

Hakika hoja ilikuwa tujadili namna hii, lakini kuna washirika wengine ngumi mkononi, wanahitaji "tuition" ili waelewe hasa tuende wapi...
 
Ndugu Kenyan-Tanzanian,

Kwa maoni yako, unadhani ni kwa nini vibibi vya kizungu vinapenda vijana waafrika?
 
Jibu lipo kwenye njia panda kati ya Psychology na Economics. For the European lady its the psychological satisfaction they derive from this that really matters. For the boys and girls its the economic satisfaction. Sometimes, as is always with all phenomena, both the psychological and economic reasons intertwine to motivate either party.
 
For the European lady its the psychological satisfaction they derive from this that really matters.

Unadhani ktk hili, European ladies can not find it from their European men? Some say the life style in developed world has a lot to do with declining of strenghts as far as reproductive health is concerned...and thus ladies have to go to Africa, where men are unaffected by such reasons. What is your opinion?
 
Mkuu naanza kuhisi pia wewe unakosea. Nikiyachunga matusi yako na kaka zako napata points zenu lakini inahitaji mtu awe mvumilivu ndio awajibu.Kabla ya hilo naanza kwa kukufaa hivi: Mtu huwa hasemi ulvyoandika hapo juu ila husema hivi:

" After all, we can discuss why those old white girls line up our beautiful beaches to quench their sex appetite?"

Ndio sanifu sasa eti.Wacha na ndio iwe hoja ya thread hii badala ya matusi mmezopakapaka nafasi hii JF ya waKenya mkikumbuka sisi wastaarabu tangu zamani na hatufanyi hivyo huko kwenye chatroom yenu.

Nasisitiza kwamba lazima tuheshimiane. Wakuu, muwarekebishe wenzenu wasiojua mjadala. Kenya is a sovereign nation state and not an alter ego of another state; whether African or otherwise. Hilo nalifahamike.

How can anyone with the most rudimentary of understanding mount a post with a title as nuanced as "Vibibi vya Kizungu na vijana wa Kikenya!" in a Kenyan blogspot? What is the intention of such a title and the motive of the post? Mheshimiwa from Mlimani yet again you betray that increasingly familiar to most Kenyans,typical, "Bongolanders-cant-hurt-anyone-its only others-who-can-hurt-Bongolanders", mien which, always finds fault with Kenyans in whatever circumstances. Huku tumeanza kuzoea hilo na ndani ya muktadha wa kiHistoria tunawaelewa tuu. Mbona nusu yangu ni TZ?

Chief, yours is the same mentality that makes your comrades to shout anti-Kenyan slogans until the world wonders aloud, when criminals from Kenya are tackled by the Tanzanian police and the masses nail the whole republic. Instead of seeing the criminals for what they are, just criminals like any other, you rope in the whole Republic into your stinging attacks with the casual abandon most of your posts exude. Why dont you have the objectivity (which you pander to) to see that this was a mischievious post aimed at whipping up guffaws against Kenyans...eti yet again wametenda hili na lile!

Doubtless is one thing. You do show some evidence of understanding the CSW problem and its international nature, especially when it dovetails with our tourism industry. A patient reader can glean this from your salvo hereby. The same applies to most of the views posted here by your other comrades-in-arms. Nevertheless, you know as I do it took hard tackling to make you start reasoning. Were we to remain mute as most of your early posts in this thread have fun, mucking the good name of the great republic of Kenya. We, Kenyans, are born with an instinct against any form of domination. Such is the glowing pride we have in the legacy of our grandparents--the Mau Mau generation. Doubt me? Ask the British. No, we dont. You may call this arrogance. It may be. So be it. No regrets. No. Asikudanganye mtu, Kenyans do not take insults facing down. Remember to ask the Professor you cite above to tell you the full story. I bet the young man suffered under him but is nevertheless packing a neat salary having made the good Professor to know that the world abounds with Oliver Twists. You know what I mean.

I urge you all to follow mw brazameni's second post in this thread and sniff the stench of mischief too. Last word. A tautology. No more comments on this issue if it means that the longest posts on this thread are those out to frolick in retrogressive jingoism.

..another rubbish!and trashing allover the place!
 
Stonejiwe,

hapo umenena mkuu. Hiyo pia inachangia, na wengi wetu tunajua hivyo. Kuna watu wanadhani ni Kenya pekee, lakini si sahihi, ni eneo kubwa. Ni mzunguko wa maisha ambao si rahisi kuumaliza.

..usipindishe mambo hapo,soma posts za watu utaelewa kuwa haisemwi kenya pekee.....!

..nasisitiza issue hapa ni arrogance ya mtu kujiona yeye au wao ni zaidi na kesha mwaga trash in some other thread.....kwa taarifa yako!
 
Posts zote zimekubali mkuu, ila kuna watu walihitaji tuition ya ufafanuzi wa namna hii...na ndiyo iliyopandisha somo likaeleweka. samahani kwa kupindisha mambo (kwa manufaa ya umma??) .....teh tehe teh teh...kaaaazi kweli kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom