Vibamia association of Tanzania (VAT) - Mkutano mkuu

hapo kona baa kuna watu wanaweza kuwasaidia wakati mnaendelea na kikao joan 0713661635, tedi 0755184948 na jak 0718984718. mkutano mwema
Hawa kina joan, tedi na jak watatoa usaidizi wa aina gani? Kunyo.., Kutomasa, au....?
 
Ndugu wanachama msisahau Kadi zenu za uanachama. Ni muhimu sana.

Mi nina wasiwasi na wazamiaji wasije kutusanifu pale. sijui uongozi umejiandaaje na hili ili tuwe wanachama hai na halisi tu ndani ya ukumbi
 
Wadau tuthibitishe ushiriki wetu mapema ili kuweka logisitcs sawa
 
Ondoeni hofu, Ulinzi umeimarishwa, tumeajiri wamasai watano kwa ajili hiyo.
 
Back
Top Bottom