Viatu vya Kichaga...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Hivi viatu ni vizuri kwa kuibia mbuzi uchagani, police waki track step zako wanakwenda opposite.....

CHAGA.JPG
 
Niko Kyel-Mbeya niagizie kwenye Hood au Sumry kama upo Dar tutabalishana na magunia ya mchele wa kyela
 
Kila kitu wachaga kizuri wachaga,kibaya wachaga .ukingalia viuri hapa Jf kwa siku ya leo maada zilizo postiwa hapa zinazo zungumzia wchaga au kutaja majina ya kichaga natumani sii chini ya 8.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom