Viatu vya dr.ulimboka

mayoscissors

JF-Expert Member
Nov 24, 2009
975
471
Mungu katuumba tofauti sana,nani kati yenu anaweza kuvaa viatu vya doctor ulimboka?Ni wakati wa kutafakari kuwa siku ulimboka akitoka kitandani moi kwenda kwake atakuta ukombozi ambao amepigania kwa damu,mifupa na nyama yake.Nadhali wale mlio waoga ngoeni meno yenu,vunjeni mbavu zenu na mvimbe nyama zenu mfanane na ulimboka ambaye leo mnarudi nyuma vita alivyochangia kwa yote hayo.
Brothers and sisters lets us keep real and never disappoint our beloved who is in pain while we are with our families.
solidarity forever.
Get well so bother ulimboka,we love u brother
 
Namuona kama Dr Namalla Mkopi anaweza kuvaa viatu vya Ully. Aliniacha hoi sana jana... "Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Dr Ulimboka, Mungu wabariki wakitanzania kipindi hiki cha mpito".
 
Namuona kama Dr Namalla Mkopi anaweza kuvaa viatu vya Ully. Aliniacha hoi sana jana... "Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Dr Ulimboka, Mungu wabariki wakitanzania kipindi hiki cha mpito".

Ingawa 'not exactly' km Uli; ila kwa expression aliyoionesha jana, anaweza kukaimu kazi aliyokuwa akiifanya Ulimboka.:redface:
 
Let us pray for ulimboka,vyama wafanyakazi tungepata watu kama ulimboka wa 5 tu!serekali ya magamba ingenyooka.mungu mponye mpiganaji wetu.
 
Let us pray for ulimboka,vyama wafanyakazi tungepata watu kama ulimboka wa 5 tu!serekali ya magamba ingenyooka.mungu mponye mpiganaji wetu.

Tukuta, hawajui hata wajibu wao, hovyo kabisa. Mwajiri wao analamba dhahabu mpaka itakwisha wao wapo tu. Sijui Tuanzishe shirikisho lingine la wafanyakazi? Maana kwa sasa ni uizi mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom