Viambata mhuhimu vya kusajilia Vitambulisho vya Kitaifa!

ni fomu tu iyo unajaza ina nafasi

Ok thanks, ina maana hii taarifa si sahihi?

Vitambulisho vya Kitaifa vitakavyotolewa vinategemewa kuwa SMART na kwamba*taarifa zote hizo zitabebwa kwenye hicho kitambulisho, kwa mfano, imetokea umesahau kadi yako ya kupiga kura, badala ya kutokupiga kura kwa kuwa huna kitambulisho cha kupiga kura, basi utaweza kutumia Kitambulisho chako cha Utaifa kwa ajili ya*kupigia kura halali.

Basi kwenye hicho kitambulisho kunakuwa na details gani hasa?

naipenda avarta yako sijui ndo wewe kweli. Lol

siyo yeye, aringe? lol

ndo mimi jana si ulinikana wewe

:photo:Oooops, :washing:
 
Back
Top Bottom