vi-imani vya kujing'ata,chafya,nk

snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,407
1,110
toka nikiwa mdogo kuna vitu nasikiaga na labda vimeingia kichwani mwangu,ila naomba kuwauliza kama ni kweli inatokea,,,,mfano ni ile ya kupiga chafya unaambiwa kuna mtu atakuwa anakuongelea,ama kujing'ata mtu anasema msosi ni mtamu,je nyie inawatokeaga,,,,,je wewe kuna viimani gani unajua au una-amini
nimeviita vi-imani kwa sababu hatuchukulii seriously na sio lazima
 
Kwamba ukiwa umesahau jina la mtu eti yuko chooni , akitoka tu unalikumbuka.
 
leo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....
 
mpaka leo naamini nikiwashwa mkono napata hela...!!!!!teh!teh!teh!!!
hapa nawashwa balaa....!!!jamani nani ana bahati aniandikie kiasi cha pesa..???maana kama una gundu siwezi kupata ng'oo....!!!!
 
mpaka leo naamini nikiwashwa mkono napata hela...!!!!!teh!teh!teh!!!
hapa nawashwa balaa....!!!jamani nani ana bahati aniandikie kiasi cha pesa..???maana kama una gundu siwezi kupata ng'oo....!!!!

sijui ni kitu gani....lakini kwangu huwa inakuwa kweli.....nikiwashwa mkono ni lazima nipate hela......sijui imekaaje hii.....
 
wakati wa utoto,ku-cross fingers ilikuwa inafanya kazi sana kwangu,,,kama nimefanya kosa na sitaki wazee wakumbuke,,,,na kweli walikuwa hawakumbuki,,,unavifichia mfukoni....utoto raha sana
 
leo jicho la juu linanicheza sana....sijui my Liberto ameniandalia sapraiz gani leo....

P. uongo tu huo, nadhani ni imani potofu tu. Halafu hata pole huji kunipa huku Njiro? Oh my Preta.
 
Last edited by a moderator:
kama ukiwashwa mkono utapata hela mguu ukichea utapata safari je ukiwashwa saburi?
 
Haya ndiyo tuwezayo Africa kufikiri beyond that point mhh never sisi ni dhana Na ushirikina kwenda mbele
 
Back
Top Bottom