Veta yafungua "the one and only" chuo mkoa wa manyara!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,443
113,452
Wanabodi,

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini, VETA, wamezindua chuo pekee kilichopo mkoani Manyara. Mkoa huu, ni moja ya mikoa mipya ambao hauna chuo kingine chochote cha elimu yoyote zaidi ya hiki chuo cha Veta kilichozinduliwa leo!.

Uzinduzi huo, uliofanyikia katika mji wa Babati, umefanywa na Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal aliyeandamana na Naibu Waziri wa Elimu, Mhe. Philip Mulugo, Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Veta, Prof. Idrissa Mshoro, na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Eng. Zebadiah Moshi.

Hotuba za uzinduzi zinaendelea,

Endelea kufuatana nami.

Pasco.
 

Attachments

  • Makamo wa Rais, Dr. Mo' Gharib Billal na Balozi wa kOREA, H.E. Young Kim, wakikata utepe kuzindu.JPG
    Makamo wa Rais, Dr. Mo' Gharib Billal na Balozi wa kOREA, H.E. Young Kim, wakikata utepe kuzindu.JPG
    237.5 KB · Views: 153
  • Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi akimuonyesha Makamo Rais, baadhi ya zana za kilimo .JPG
    Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi akimuonyesha Makamo Rais, baadhi ya zana za kilimo .JPG
    365.4 KB · Views: 209

Similar Discussions

Back
Top Bottom