VETA mbona kimya sana?

pinochio

Member
Jul 27, 2011
26
3
Wana JF , mimi ni kati ya watu waliofanya interview ya VETA na delloite . ila hadi sasa naona kimya.vipi hawa watu washaita?:help:
 
Wenzio tulishakata tamaa.. maana nasikia serikali haina hela.... ajila zile ni majaliwa; Nafikiri Deloit walipaswa kuwajulisha watu.. otherwise kilichofanyika sio sawa.
 
Mkuu unadhani utapata bila kutoa chochote kitu utapata? Kwa hali ya Tz yetu utaishia kuhesabu ofice za watu kwakufanya Interview, japo sikushauri utoe chochote kitu ili ununue haki yako
 
Mkuu unadhani utapata bila kutoa chochote kitu utapata? Kwa hali ya Tz yetu utaishia kuhesabu ofice za watu kwakufanya Interview, japo sikushauri utoe chochote kitu ili ununue haki yako

Acheni hizo jamani! Tujifunze kutembea katika haki! ..... Haki huinua taifa.... ! Tutetende kwa haki na tuamini Mungu atatuinua against wasio haki!
 
Ikawa asubuhi ikawa jioni... siku ya nane! .... I mean ilipaswa kuwa October (Sijui november vile?) Leo ni January... Duh!
 
Back
Top Bottom