Very Official Love Letter

Good n' soundin' lettah! No Denial....
Acceptance should be Guaranteed... And Enjoyment be at Private Beach!
 
FL, si lazima ushinde mkoko ndo udhani una bahati....
 
Hahahaha! Mkuu Boflo hii imekaa vyema! nimecheka sana hadi stress imepungua kwa kweli! pokea thanks yangu hapo!! 4 sure its a very official love letter!!!
 
Dah!! first lady una bahati ya mtende!!, unastawi jangwani kusiko na maji!!! Usilaze damu shosti hilo ni kama zari la mentari, changamkia tenda. Sipati picha jinsi roho zinavyowauma akina maria rosa, nyamayao na rose 1980, wanatamani zari lingewaangukia.
Big up sana kaka boflo, at least nmerelease presha kwa kucheka.
Nasubiri kwa hamu jibu toka kwa FL
 
afadhali umempa ukweli...anataka kutingisha kibiriti....Ajue Opportunity never come twice
 
hahaha barua kali sana, Firstlady mpe jibu zuri....usimwangushe Boflo wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom