VENEZUELA builds its first Drone( pilotless) and riffle with IRAN's help

Chezea israel wewe kumbuka vta ya siku sita kapiga nchi saba

Vita ya siku sita alishinda kwa sababu ya unafiki wa waarabu. Kwa kuwa waarabu wameanza kuelewa uadui wa wazayuni na marekani yake watajipanga ili kushinda. Kwanza Israel haina uwezo mkubwa kama unavyofikiri wewe. Inasaidiwa na Marekani kunzia silaha mpaka fedha. na mwezi uliopita imesaidiwa submarine na ujerumani.
Labda kumbuka jinsi walivyochapwa na Hizbullah ya Lebanon na wakaikimbia nchi hiyo: mwaka 2002 na wakavamia tena mwaka 2006 wakachezea kichapo kwa siku 33 kisha wakajivua gamba.
 
Back
Top Bottom