Vazi murua kwa wajawazito: Nimeipenda design yake

Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,274
272
Yaani hii design inahakikisha mama mjamzito anapata hewa wakati wote bila kubanwabanwa!
 
Attachments

  • 918-nice-dress[1].jpg
    918-nice-dress[1].jpg
    16.8 KB · Views: 1,079
hicho nacho ni kioja,
sitashangaa kusikia hilo tumbo halina baba coz kidume chenye mzigo wake kisingeruhusu huo upuudhi.
 
Wow! Do people still dress like this nowadays? This is not attractive at all.:A S 13:
 
Wow! Do people still dress like this nowadays? This is not attractive at all.:A S 13:

hakuna ubaya wowote kuvaa nguo kama hii akiwa chumbani na mpenzie na jamaa akilichezea tumbo na wote wakiongea na mtoto wao.
 
hakuna ubaya wowote kuvaa nguo kama hii akiwa chumbani na mpenzie na jamaa akilichezea tumbo na wote wakiongea na mtoto wao.

Huyu asikanyage uswahilini. Watu wanayatafuta sana matumbo machnga namna hii.

Kuna siku wife alipita mitaa ya tandale kitumbo ndo kinaaza kuchomoza, nasikia alikuwa anapata mialiko mia kidogo!

Kulea mimba kuna raha yake jamani!
 
Back
Top Bottom