Vazi la waziri limeharibu kabisa siku yangu

Yaani waziri unavaa kitoto mpaka pindo za chupi na mahaga yanaonekana mbele ya hadhira kweli!!!
Sasa hapo vijana wetu wanajifunza nini na tunapata tafsiri gani hapo? Jamani nimesikitishwa sana na vazi la waziri na ameniharibia siku yangu waziri anapaswa kuwa kioo cha jamii mambo ya fashion, kuuza sura hayatakiwi kwa kioongozi wa serikali mzito kama wewe uliye pewa dhamana na rais.

Pengine hiki ndicho kilichomfanya akapewa huo uwaziri sasa atafanyaje? Lazima aendelee kuonesha sehemu zake ili kuzidi kuwateka na kuwavutia wakubwa.Ni aibu ya mwaka hii. Kwamba Waziri anayepaswa kusimamia Utamaduni ndiye ana uharibu.Shame.
 
hii ni aibu kwa kweli... yani most of time anasuka twende kilioni (tena zile za kusukia nyumbani lol). Mavazi nayo holaaaa... yani ukisikia watu wasiobadilika ndo hawa. SIo mazingira, sio status ... kang'ang'ania the same style. Hana washauri, hana mabinti home kwake , hana kioo ? big shame
 
hakuna kinachovutia hapo lol. labda kinachochefua kwi kwi kwiiiii
 
Mleta hoja nadhani mpaka umri huo ulionao umeona viongozi wengi tu wanaovaa kiheshima kwelikweli na ndio haohao waliotufikisha kwenye deni la trilion 20.

Kuna watu wanavaaa majoho lakini ndani wamejipaki mabomu bana...
 
hii ni aibu kwa kweli... yani most of time anasuka twende kilioni (tena zile za kusukia nyumbani lol). Mavazi nayo holaaaa... yani ukisikia watu wasiobadilika ndo hawa. SIo mazingira, sio status ... kang'ang'ania the same style. Hana washauri, hana mabinti home kwake , hana kioo ? big shame

Twende kilioni ina ubaya gani??????????
Unaelewa maana ya BRANDING? basi mwacheni kwanza anapendeza, she is so natural.
Msimuonee wivu, she is a very beautiful the way she is. No hair extension, no perms, nothing artificial

Keep it up Fenella you are amazing
 
Aiseeee...e ! Waziri hadi bastola zimejichora.Mbaya zaidi Waziri huyu,Wizara yake ndiyo yenye DHAMANA YA KUSIMAMIA UTAMADUNI,sijui ni Utamaduni gani anasimamia huyu.

TOA MFANO MMOJA WA NGUO YA KITAMADUNI KATIKA NCHI HII INAYOFICHA SEHEMU ZOTE ZA MWILI.

Hadi leo wanawake vijijini wanatembea matiti nje na kuficha sehemu za siri.
acheni tabia mbaya
 
Back
Top Bottom