vazi la taifa Tanzania ni lipi haswa?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana jf
ningependa kujuwa hivi vazi la Taifa letu Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni lipi haswa? kwani ktk ile siku ya waafrika huwa naona watu wengi kutoka afika kila mtu kavaa vazi lasmi la nchi atokayo ila kwa Tz utamwona jamaa katika suti na tai,sasa vazi letu sisi wabongo wazee wa porojo ni lipi?
 
Back
Top Bottom