figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,491
- 54,884
vazi la taifa ndo haya haya mavazi tunayo yavaa. sio kusema eti hatuna mavazi hadi kamati iundwe kutafuta vazi la taifa kama tuna tafuta vazi la chama fulani au vazi la kundi fulani la watu. hilo vazi mtalitengenezea wapi? China?. tungeanza na kamati ya kutafuta kwanini ahadi za kikwete hazitekelezeki halafu ndo ikaja kamati ya kwanini watanzania ni maskini. mavazi hayana tija kwa wananchi wanao vaa vitambala. mumeshindwa kujitambua watawatambuaje kwa mavazi? nakutakien x-mas njema. Mia