Vazi la bikra maria

Mr.Mak

JF-Expert Member
Feb 23, 2011
2,841
1,102
Samahani sana kwa wale wenye kutawaliwa na jaziba.
naomba nijibiwe swala langu hili linalonisumbua. Toka nizaliwe mpaka leo kila nionapo picha ya Bikra maria huwa naona vazi lake ni Hijabu, lakini nikiiangalia jamii ya wakristo sioni wanawake zao kujipamba kwa mithili ya mavazi ya Bikra maria.

1.swali ivi ni kwanini wanawake wakristo hawavai kama alivyokuwa anavaa bikra maria?
2.Je ma sister kuvaa vile wavaavyo ipi reference yao? and why not for other kristian woman?
 
Mbona huulizi Vazi la Yesu? Mavazi yanategemea na mazingira sehemu zingine. Muda wote kwao yale ndio mavazi yao makuu.
 
mavazi ni tamaduni za eneo husika, angekuwa amezaliwa umasaini akavaa lubega unataka wanawake wote wavae lubega?

Pia hakuna mahali palipoandikwa wanawake wavae kama bikira maria......ila wanawake wanatakiwa wavae kwa kujisitiri kwa hiyo ukivaa gauni lako lililokufunika vyema inatosha.

Halafu wakristo hawaongozwi /kutambuliwa kwa mavazi....

Msihangaike kusafisha kikombe kwa nje wakati ndani kimejaa uchafu,...... bali kikombe kisafishwe ndani kwanza then nje........ Roho kwanza then mavazi........
 
Samahani sana kwa wale wenye kutawaliwa na jaziba.
naomba nijibiwe swala langu hili linalonisumbua. Toka nizaliwe mpaka leo kila nionapo picha ya Bikra maria huwa naona vazi lake ni Hijabu, lakini nikiiangalia jamii ya wakristo sioni wanawake zao kujipamba kwa mithili ya mavazi ya Bikra maria.

1.swali ivi ni kwanini wanawake wakristo hawavai kama alivyokuwa anavaa bikra maria?
2.Je ma sister kuvaa vile wavaavyo ipi reference yao? and why not for other kristian woman?

leta aya kwenye kitabu ni wapi wameeleza vazi la bikira maria.....
 
Hijab hilo ambalo sasa linavaliwa na malaya wachache na materosit kule afghastan,usione kaburi limepambwa vizuri kwa nje na ndani ni mifupa mitupu
 
Kwa hiyo unataka na wanaume wa kikristo wavae yekeyeke na mavazi kama ya kina Yesu, Joseph, na Zakayo mtoza ushuru?
Usikazanie kuweka tiles kwenye kaburi baba!:heh:
 
mavazi ni tamaduni za eneo husika, angekuwa amezaliwa umasaini akavaa lubega unataka wanawake wote wavae lubega?

Pia hakuna mahali palipoandikwa wanawake wavae kama bikira maria......ila wanawake wanatakiwa wavae kwa kujisitiri kwa hiyo ukivaa gauni lako lililokufunika vyema inatosha.

Halafu wakristo hawaongozwi /kutambuliwa kwa mavazi....

Msihangaike kusafisha kikombe kwa nje wakati ndani kimejaa uchafu,...... bali kikombe kisafishwe ndani kwanza then nje........ Roho kwanza then mavazi........

mkuu,umeeleza vema sana,sina cha kuchangia!
 
Kwani waliagizwa wapi wavae hivyo? Wakristo hatuna maagizo ya namna hiyo tena yanayolenga mambo ya kimwili yakaacha jambo la msingi roho...
 
Back
Top Bottom