U upuzi wa kutaka kutwondoa kwenye kufikiri vitu vya mana, eti vazi la taifa, hv kweli nchimbi huna cha kuifanyia nchi zaidi ya huo upuzi. Wacha hzo staki amin dk unatilia manani na kwendekeza upuzi wa clouds kiasi hicho..
Watanzania wanahitaji sana vazi la taifa kwa sasa?
Faida yake nini hasa?
Maana campaign zake ni kiboko na sasa kamati kuzunguka mikoani kutafuta mawazo ya hilo vazi liweje?
Kwa pesa ipi?[/QUOTE]
Hii hii inayotokana na kodi yako wewe Mtanzania!
Juzi kwenye mdahalo ITV,kuna mtu aliwauliza km masai walifanya midahalo,na kuzunguka kuchua maoni ya watu ili wapate vazi lao maarufu la kimasai! hakukuwa na jibu.
daaah hahaha na hii campen ya uhuru ya ndoa za jinsia moja duuu, mchumba atampata faster na nikikumbuka maneno ya shehe yahaya. :juggle:Kwa nini wasiseme msuli uwe ndi vazi la taifa? halafu jk alivae atakapokutana tena na obama kazi kwisha