Alichokiandika ni upu pu tu. Hakieleweki na wala hataki kufafanua!wewe nae!!. kwenye heading umeandika Papa na katika taarifa yenyewe umeandika Papaa, sasa tuelewe nini?. Halafu taarifa yako haina hata maelezo ya kutosha na haijulikani kama unauliza au unaelezea. Title inasema 'Papa kauwa?'.....yaani unauliza kama vile Papa ndiye mtendaji wa mauaji na katika maelezo yako unasema kuwa 'papaa is no more' hapa unaonyesha kuwa papaa ndiye aliyeuliwa. Tushike lipi na tuache lipi?
Alichokiandika ni upu pu tu. Hakieleweki na wala hataki kufafanua!