Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!

nakushauri cha kwanza mpe likizo aende kwao! mawazo yanaweza kukuondoa akili ukachinja mtu bure. mrudishe kwao alafu mambo mengine ndo yaendelee
 
Kaka wote ni wanaume na magumu hupitia,tulia zungumza na mkeo naye umsikilize anakuambia nini,huenda ujapata suluhu yenyd tija kwako,kwake na kwa watoto wenu. Be patient men...subira huvuta heri.
 
Yaani wewe! Mwenzio anaogopa presha ya kupanda unampa hongera! Kweli huku kulea sio mchezo.

Sasa unadhani kitakachotokea ni nini?
Ataongea na mke wayamalize kimya kimya huku wakisubiria mtoto "wao" wa ngapi sijui.
 
ashakugeuza mume *****,
inaonyesha huyo mkeo yeye bado anapenda kuwa na watoto,hata kama mlikubaliana tayar,
then jaribu kuchunguza unaweza kuta hata hao watoto ambao tayari mnao wote si wako,
nijuavyo mimi ni kwamba vpo vya kushare,si malavdav
 
kitanda hakizai haramu ati,ila huyo mko inabidi muongee naye kiutu uzima asije rudia tena,
 
Pole sana ndyoko,
inabidi upeleke hili suala kwa wakwezo (wazazi wa mkeo), au viongozi wa dini labda utapata suluhisho.

Je ukimuacha alafu utakayemuoa akafanya hivyo hivyo utafanya nini? Ukichinja na wewe ujandae kuozea jela! Pole kwa hilo ndiyo maisha.
 
Ndyoko,don't rush into judgement maana inawezekana mimba ni yako.Baada ya vasectomy huwa unashauriwa ukojoe (ejaculate) si chini ya mara hamsini ili kuhakikisha mbegu zilizokwisha jichanganya na shahawa(manii) kwenye glands zinatoka zote.Ujue sperms huwa zinakaa kwenye korodani na shahawa kwenye glands,huwa vinajichanganya wakati wa ejaculation.Ndo mana baada ya vasectomy ni vema ku masturbate kama mara sitini hivi au kutumia condom kama miezi sita ili kuondoa uwezekano huu.Sasa ndyoko miezi 3 au 4 baada ya vasectomy ulikojolea wapi,ndani ya mama? Then mimba ni yako.Kwa maelezo zaidi kama uko Dar nenda Mwenge maria stopes.
 
Miezi 10 iliyopita niliamua kufanyiwa uzazi wa mpango kwa kutumia ile njia ijulikanayo kwa jina la VASECTOMY. Hii ni baada ya kuona mwenzangu 'hesabu' zimemshinda kabisa. Nikaona ili kuepuka uwezekanao wa kuwa na familia yenye idadi ya timu ya mpira-maana watoto 8 ktk ndoa ya miaka10 sio mchezo-nikaona acha jukumu la uzazi wa mpango nilichukue mwenyewe. Nikaamua kufanyiwa vasectomy.

Miezi miwili imepita sasa, nimegundua mke wangu ni mjamzito, tena wa miezi 3. Hii ni baada ya kuona dalili zile zinazoambatana na mimba changa. Nilipohisi nikaamua kumpeleka hosp lakini bila yeye kujua, nikaongea na daktari ampime mimba na anipe majibu privately. Mungu si Athumani, vipimo vikaonyesha mke wangu ana mimba ya miezi miwili. Sikuonyesha kushangaa mbele ya dr kwani sikutaka ajue mshangao wangu ktk hilo. Hata hivyo wife ameshaanza kuhisi kuwa amenasa, na amekosa amani ghafla.

Awali nilidhani huenda hiyo operesheni haikufanywa vizuri, lakini nilipoenda kuangaliwa upya mtaalamu iko sawa na nisingeweza kumtia ujauzito my wife. Hivyo ni wazi mimba hii ni ya mwanaume mwingine.

Wajemeni naomba mnishauri nifanyeje. Na kama ni adhabu, nimpatie adhabu gani..........nimchinje, nimpe talaka, au niendelee kulea 'kiumbe cha mwanaume mwingine?

Mkuu kabla ya kuanza kurusha ngumi inabidi ufanye uchunguzi wa kina. Hili la Wanaume waliofanyiwa Vasectomy ili wasiweze tena kutia mimba na baadaye wakaweza kutia mimba lipo sana. Na wengi huwa wanafungua kesi dhidi ya Daktari aliyoifanya hiyo Vasectomy. Hivyo inawezekana kabisa kwamba mimba hiyo ni ya kwako na si ya mtu mwingine. Vuta subira labda usubiri hadi ufanye DNA au ukaangaliwe na mtaalamu mwingine kama bado una uwezo wa kutia mimba pamoja na kufanyiwa hiyo Vasectomy.
 
Tulia nyoosha maelezo, inaelekea unatunga story!
 
well said Mkuu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanza hongera member! ur among few man who decide to take responsibility na sikuujaza tu ulimwengu ambao already overpopulated, kuhusu mkeo take DNA n make decision while listening to ur guts, I bet ur smart guy as kwa kuchukua huo uamuzi naona ur a smart thinker!
 
a real man!
Nimependa ushauri wako

pole sana ila kwangu mimi la kwanza ni kusamehe japo si rahisi kwa ubinadamu wetu. sikushauri upime DNA haitakusaidia zaidi itakuchanganya.wewe sio wa kwanza kupata tukio hilo kuna ndoa mama nawatoto wawili wazungu na ndoa bado ipo.ukifuatilia sana unaweza kushangaa hata wewe unaweza usiwe raia wa ukoo unaojiita .punguza hasira jaribu kufikiria mazuri zaidi katika kuhukumu.kumbuka huwezi kuishi bila mwanamke mwingine kwa uzoefu wangu lakini unauhakika gani kuwa utakaye kuja ni salama zaidi. pia fikiria investment capital uliyoiwekeza kabla ya kuoa nahuyu mpya utakaye kurupuka, mbaya zaidi ushakuwa sio mkamilifu tena kwa oparation uliyo fanya tumia busara usiogope watu angalia utu wako watoto kumi ni wengi kufanya maamuzi ya kuacha mke. kaa unaweza kulea watoto wa dada yako ambao hauna ukoo nao utashindwaje kulea mtoto/watoto wa mkeo unayeangalia afya yako na watoto wako achilia mbali starehe ya dunia unayoipata.fikiria angekudai 2000 kwa kuishi kwake na wewe na kazi anazo fanya kwa siku toka umemuoa ungeweza kumlipa? tunza mtoto kila mtu anamapungufu yake ukimsamehe kwa hili nakuhakikishia atakuwa mke wa maana na kukujali kwani litakua deni ulilomkopesha. anza kufikiria mahitaji ya mtoto bila kinyongo achana na *habari za kukuchanganya
 
ntaanza kufanya DNA test very soon ili niweze kujua 'gravity' ya hii kitu, nahisi nimedhalilishwa sana mbele ya jamii. afadhali ingekuwa sijafanya hiyo operation ingekuwa rahisi kupotezea lakini ni ngumu ktk hali yangu ya sasa.

Mzee kama ni kweli pole sana, lakini hivi kwanini uliamua kufanya wewe hiyo vasectomy na sio mkeo? (N.B naomba nisieleweke vibaya na wanaharakati, naongelea reality) any way, nimesoma kuna uwezekano uka reverse vasectomy lakini ni expensive. Pole sana mkuu!
Unaweza soma hapa : Vasectomy reversal - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hapa mzazi akizaa tu nae zamu yake akakate mirija huna jinsi hapo we elea tu mimba ya mme mwenzio au mlazimishe atoe inauma sana.

Fidel80 nakuunga mkono, kuondoa hii kadhia mwambie salama yake muende akatoe hii mimba, ni adhabu tosha kwake. Halafu na yeye atoe kizazi. Sema uwe makini anaweza sasa kuuza mechi balaa maana nyavu hazitingishwi utajuaje?
 
Kuna kitu kinaitwa rational decision making. It is extremely unwise to sacrifice the life of 8 kids because of 1 illegitimate kid! It is because of this I can't advise to divorce your wife!!!
ntaanza kufanya DNA test very soon ili niweze kujua 'gravity' ya hii kitu, nahisi nimedhalilishwa sana mbele ya jamii. afadhali ingekuwa sijafanya hiyo operation ingekuwa rahisi kupotezea lakini ni ngumu ktk hali yangu ya sasa.
 
ashakugeuza mume *****,
inaonyesha huyo mkeo yeye bado anapenda kuwa na watoto,hata kama mlikubaliana tayar,
then jaribu kuchunguza unaweza kuta hata hao watoto ambao tayari mnao wote si wako,
nijuavyo mimi ni kwamba vpo vya kushare,si malavdav

Jamani jamni, hala hala, easy said than done!
 
Back
Top Bottom