Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!

Kinachoniuma ni kwamba nilipochukua uamuzi wa kufanya vasectomy, alifurahi sana na kuwaeleza watu jinsi alivyoona kuwa mimi ni responsible husaband. manesi pia walinisifia sana. sasa ghafla wife ana mimba, ntauweka wapi mimi uso wangu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii! si afadhali angetumia kinga, walau angenisitiri utu wangu?

Hapo tu ndio panapokuponza...

Kuna mwalimu mmoja alikuwa anatumia lugha kali sana inapotokea jambo kama hili. Alipenda kusema kuwa..."unalipa matunda ya uungwana au ushenzi wako"!!

Kwa hili huna ujanja kwa sababu wewe mwenyewe uliamua kuivunja armoury yako. Mwambie akuonee huruma. Hebu bembeleza wife na kumweleza kuwa hiyo idadi inatosha,......Vinginevyo KITANDA KITAENDELEA KUTOZAA HARAMU!!

Pole sana lakini!!
 
Katika vitu ulivyo enda chaka ni pamoja na maamuzi ulioamua kuyafanya kuhusu huo mpango wa uzazi. Unauhakika gani kuhusu watoto labda wote siyo wako ?
 
Katika vitu ulivyo enda chaka ni pamoja na maamuzi ulioamua kuyafanya kuhusu huo mpango wa uzazi. Unauhakika gani kuhusu watoto labda wote siyo wako ?

Mkuu nisaidie tu nitoke huko chakani maana hilo hata mwenyewe nshalijua ndo maana nkaja hapa kwa ushauri. bahati mbaya sana hii kitu ikishafanywa ndo haiwezekani tena kuirudisha. hata sijui itakuwa kama ikionekana wote sio wangu, si ndo ntakufa bila hata kuacha jina!!!!!!
 
Kuna jamaa alinipa inshu ka hiyo, secretary wa husband kasema boss kampa mimba, kesi hiyo mpaka mahakami. Jamaa kapimwa siku ya siku Dr anakuja kutoa ushahidi mbele ya hakimu anasema jamaa hawezi zaa kamwe and guess what ana familia ya three kids!! Sometimes life can be a real b***h especially ndoa. I salute all ambao mko kwenye ndoa big up sana!
 
Pole sana ndugu yangu hii issue kama yako imetokea pia kwa mzee mmoja alikuwa jirani yangu mitaa ya mikocheni huyo baba alifanya vasectomy muda mrefu sana bila ya kumwambia mkewe imepita miaka mitano mke akapata ujauzito bila kujua akamwambia mumewe kuwa anamimba kwa bashasha kuwa wategemee kupata mtoto, yule mzee akamjibu kuwa hiyo mimba aipeleke kwa mwenyewe maana sio yake yule mama kajajuu kaenda kushtaki kwa wakwe na wazazi wake kuwa mumewe kampa mimba halafu kamkana, wanafamilia wakaitisha kikao yule mzee akawaambia kuwa miaka mitano iliyopita alifanya vasectomy kwani watoto alionao wanamtosha mama kusikia hivyo vikamshuka na ndipo alipokiri kuwa anatembea na mwanaume mmoja ambaye ni jarani yao wakati huyo baba ni mume wa mtu, mama kaambulia talaka yake na sasa ameshajifungua.

huyo mwanamke sio mwaminifu mptatie talaka yake iwe fundisho na kwa wengine ambao sio waaminifu.
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana kwenye ndoa.

Yapo mengi watu wanayajua ila wanamezea tu.

Kuna jamaa alikuwa ana hukakika kuwa hawezi kuzaa na mke wake kamtafutia watoto 4, alipapata mimba ya 5 uzalendo ukamshinda akamwambie kuwa amueleza mwenye kumzalisha kuwa hao sasa wanatosha!!

Simple rule.....unatakiwa kuamini kuwa watoto wote ni wako hadi hapo atakapojitokeza mtu kuwadai!!
 
Kuna jamaa alinipa inshu ka hiyo, secretary wa husband kasema boss kampa mimba, kesi hiyo mpaka mahakami. Jamaa kapimwa siku ya siku Dr anakuja kutoa ushahidi mbele ya hakimu anasema jamaa hawezi zaa kamwe and guess what ana familia ya three kids!! Sometimes life can be a real b***h especially ndoa. I salute all ambao mko kwenye ndoa big up sana!

hiyo ni simulizi ya movie moja ya kinigeria mkuu miaka ileeeeeeeeeee ya kina Dama wa kenya. Kids wote walikuwa wa yule family driver. Hili langu ni zaidi ya hiyo simulizi yako kamanda.
 
Pole sana ndugu yangu hii issue kama yako imetokea pia kwa mzee mmoja alikuwa jirani yangu mitaa ya mikocheni huyo baba alifanya vasectomy muda mrefu sana bila ya kumwambia mkewe imepita miaka mitano mke akapata ujauzito bila kujua akamwambia mumewe kuwa anamimba kwa bashasha kuwa wategemee kupata mtoto, yule mzee akamjibu kuwa hiyo mimba aipeleke kwa mwenyewe maana sio yake yule mama kajajuu kaenda kushtaki kwa wakwe na wazazi wake kuwa mumewe kampa mimba halafu kamkana, wanafamilia wakaitisha kikao yule mzee akawaambia kuwa miaka mitano iliyopita alifanya vasectomy kwani watoto alionao wanamtosha mama kusikia hivyo vikamshuka na ndipo alipokiri kuwa anatembea na mwanaume mmoja ambaye ni jarani yao wakati huyo baba ni mume wa mtu, mama kaambulia talaka yake na sasa ameshajifungua.

huyo mwanamke sio mwaminifu mptatie talaka yake iwe fundisho na kwa wengine ambao sio waaminifu.

asante sana kwa ushauri wako. ntaufanyia kazi tu
 
Pokola: Kwa sheria ya Tanzania Ndoa ya Tanzania (1971) mojawapo ya sababu zinazoweza kupelekea ndoa kuwa 'irreparably broken down' na mahakama kutoa talaka ni uzinzi (adultely) ya mwanandoa mmoja. Na ukigundua mimba si yako huo ni ushahidi kuwa mkeo alitoka nje ya ndoa na kisheria waweza kwenda mahakamani kuomba 'separation' au 'divorce'. am out
 
pole sana ila kwangu mimi la kwanza ni kusamehe japo si rahisi kwa ubinadamu wetu. sikushauri upime DNA haitakusaidia zaidi itakuchanganya.wewe sio wa kwanza kupata tukio hilo kuna ndoa mama nawatoto wawili wazungu na ndoa bado ipo.ukifuatilia sana unaweza kushangaa hata wewe unaweza usiwe raia wa ukoo unaojiita .punguza hasira jaribu kufikiria mazuri zaidi katika kuhukumu.kumbuka huwezi kuishi bila mwanamke mwingine kwa uzoefu wangu lakini unauhakika gani kuwa utakaye kuja ni salama zaidi. pia fikiria investment capital uliyoiwekeza kabla ya kuoa nahuyu mpya utakaye kurupuka, mbaya zaidi ushakuwa sio mkamilifu tena kwa oparation uliyo fanya tumia busara usiogope watu angalia utu wako watoto kumi ni wengi kufanya maamuzi ya kuacha mke. kaa unaweza kulea watoto wa dada yako ambao hauna ukoo nao utashindwaje kulea mtoto/watoto wa mkeo unayeangalia afya yako na watoto wako achilia mbali starehe ya dunia unayoipata.fikiria angekudai 2000 kwa kuishi kwake na wewe na kazi anazo fanya kwa siku toka umemuoa ungeweza kumlipa? tunza mtoto kila mtu anamapungufu yake ukimsamehe kwa hili nakuhakikishia atakuwa mke wa maana na kukujali kwani litakua deni ulilomkopesha. anza kufikiria mahitaji ya mtoto bila kinyongo achana na *habari za kukuchanganya
 
ni zaidi ya pasua kichwa madam Canta!
Du! pole sana mkuu,
Yani kwa kifupi naigopa sana!
Acha nivute pumzi kwanza,
Maana labda hapo ni ndoa ya kanisan haina kuachana,ukweli ndio umeujua,mapnz ndio yameisha!!
Asa mtaishije tena dah!!!inahitaji neema ya mungu tu kwa maisha hayo!
 
Japo uamzi wa mwisho ni wako lakini kweli huy hakufai na bora asepe watoto kulea utalea tu...ila kama itashindikana kabisa na wewe bora utafute wa kumpa mimba na umletee uone atafanyaje
 
hivi ukifanyiwa vasectomy, ile intensity ya "utamu wa kupiga bao" inakuwepo au inapotoea?

ile ipo ppalepale sema tu wale 'wanajeshi' wanakuwa hawapo kwenye 'semen'. mambo mengine yote yapo tena inakuwa ndo kama imechajishwa upya!
 
Sina uhakika kama hii simulizi ni ya ukweli au inalenga kutoa changamoto tu. Ila mimi huwa najiuliza inakuwaje mwanaume unakubali kwenda kufanyiwa vasectomy? Huwa ni shinikizo, mapenzi au ni nini hasa? Kwa upande wangu hilo halitotokea, na mtani wa jadi anajua kuwa hiyo ni "no-go area", labda nipate ajali ambayo itamaliza uwezo wangu wa kuijaza dunia.

Nikirudi kwenye mada. Ukweli ni kwamba kina mama wana "advantage" kubwa sana linapokuja suala la watoto. Wanaweza kabisa kukuletea watoto ambao huna uhusiano nao kabisa na kukufanya uamini kuwa ni wa kwako. Kwa hiyo inawezekana kabisa hata hao uliokaririshwa kuwa ni wanao wakawa siyo wa kwako. Sasa uamuzi ni wa kwako ama kuendelea kuishi kwa mashaka ya kutojua ni yupi kati ya hao watoto wako ni halali na ni wapi ni haramu au kuwapima wote DNA kujua mbichi na mbivu.

Kuhusu huyu anayekuja mimi nakushauri usubiri azaliwe kisha ukapime DNA kuhakikisha kama unachohisi ni kweli. Inawezekana pia kukawa na makosa katika hiyo vasectomy waliyokufanyia yaliyosababisha mimba ikatungwa.
 
Japo uamzi wa mwisho ni wako lakini kweli huy hakufai na bora asepe watoto kulea utalea tu...ila kama itashindikana kabisa na wewe bora utafute wa kumpa mimba na umletee uone atafanyaje

Inaoneka wewe ni mngwini aliyegoma kabisa kusoma biology walau ya form 3 na 4. Duuuuuuu! Tanzania nayo bado inakua tena kwa spidi ya konokono!
 
Back
Top Bottom