Valentine day na simu ya mkononi

Eghorohe

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
220
78
Imeshauriwa wawili manaopendana mke na mume,Wachumba badilishaneni simu za mkononi kwa masaa angalau sita siku ya Valentine ili kuonyesha uaminifu na upendo wa dhati,mpe mpenzi wako simu yako aondoke nayo kwa masaa kadhaa.
 
Hivi kazi za simu za mkononi ni nini?
Huyo mpenzi wako anaweza kuongea na say business partners wako walioko mikoani au hata nje ya nchi kama wewe ni mfanyabiashara?

Au anaweza kuongea na boss wako aliyoko Sweden anayetaka clarification ya report uliyotuma?

Au anaweza kuongea na mtoto wa mjomba wako anahitaji msaada wa pesa haraka kwa ajili ya operation?

Mimi naanza kuona baadhi yetu simu zetu ni kwa ajili ya kuchat tu na vijiSMS ndio maana kuiacha for 5 hrs is okay!

Maybe l am not the right person to comment kwenye hili, ngoja watumiaji wa simu kama wewe waje wacomment.
 
Aaa acha bwana ubize bongo? Huo muda kidogo ndo yatatokea hayo yote! Hizo fix tu hauko tayari kufanya hivyo kwasababu utashaa mwenyewe sms zinavyomiminika ooh! My sweet luv nataka unipe dozi ya ukweli kama siku ile,mwaka jana siku kama hii watu waliachana.
 
Aaa acha bwana ubize bongo? Huo muda kidogo ndo yatatokea hayo yote! Hizo fix tu hauko tayari kufanya hivyo kwasababu utashaa mwenyewe sms zinavyomiminika ooh! My sweet luv nataka unipe dozi ya ukweli kama siku ile,mwaka jana siku kama hii watu waliachana.

Kama ni kihivyo, lengo lako ni nini? Kuachana au?
 
Lengo nikufikisha ujumbe ninyi vijana wa siku hizi ni mcharuko kwenda mbele halafu mnadanganyana eti Valentine, sisi kipindi tunakuwa na tumezaliwa hapa mjini hiyo valentine haikuwepo mumeiga majuzi tu kutoka nchi za magharibi,hapa bongo Valentine imekuwa siku ya kuambukizana ukimwi na kuongeza idadi ya machokoraa mtaani. Tuenzi utamaduni wetu.
 
mmh, kuachiana simu....? aah wapi, leo ni siku ya kuonyeshana mapenzi bana, hakuna haja ya kutengeneza mazingira yatakayopelekea watu kutoana macho bure teh teh teh..
 
Back
Top Bottom