Vacation

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
wakuu,
kesho nachukua likizo kidogo ya wiki kadhaa hivyo nitakua mbali kidogo kwenye mapumziko maalumu na wifi/ shemeji yenu!.
so nawatakia kila la kheri, muendeleze gurudumu ndani ya JF.
luv y'all.
tahnx.
 
kumbe shostito anaitwa Amanda?????????kla la kheri mje na matarajio mapya huko kwenye vacation ikiwezekana hata featuring ya singo ya george na Amanda.

...Hahahha chaku shosti tutajasutwa sie lol mie simo akha mchanga wa pwani huoooooo
 
Mkuu nikiangalia avatar yako,I can imagine how sweet that vacation will be,all the best.usisahau kutuletea zawadi.
 
kumbe shostito anaitwa Amanda?????????kla la kheri mje na matarajio mapya huko kwenye vacation ikiwezekana hata featuring ya singo ya george na Amanda.

dah, watu washamjua kumbe, ndo hivyo bana!.
nimemwacha kidogo ndani nikasema wacha niperuzi kidogo JF kujua yanayojiri hapa.
 
Likizo njema aisee. Hivi Kelly01 bado yupo hapa bongo jamani? Naona kimya toka kipindi kile. Vacation tam sana!
 
Likizo njema aisee. Hivi Kelly01 bado yupo hapa bongo jamani? Naona kimya toka kipindi kile. Vacation tam sana!

Oooh yeah absolutely,
am enjoying a lot man here!.
 
Back
Top Bottom