Vacant JAN 6/2012

hirorobert

Member
Sep 9, 2011
58
30
wadau wa jamii f,kuna N.G.O hapa arusha inahitaji mtu aliye na competencies zifuatazo CFE/CFA/CISA(hizi ni certifications za proffessional mbalilmbali kama CFE(certified fraud examiner),CFA(certified financial analyst) CISA(certified information sytems).Wanahitaji pia uwe na Diploma/Degree of related fields Economics/Business Hawana shida sana na experience ila ukiwa nayo sio mbaya.Kazi ni Finance and Risk Manger.kama una hivyo vyeti au any of related please sio CPA ni PM ntakupa link ya kutuma vyeti moja kwa moja.Thanks
 
hamna hivo vyeti tanzania hapa...hiyo mikaburu tuuu

Na wamefanya makusudi ili walete watu wao. Hiyo ni challenge kwa wabongo, tuanze kuangalia namna ya kuwa na profession nyingine tofauti na hizi zetu tulizozoea
 
Herry,Mabagala na wenzio kama nlivyosema awali kama mko interested na mna vyeti husika ni PM nitawapa hiyo link otherwise kama ni kujaribu kama mtu unavyojaribu hapa na pale si rahisi, wenye CPA/ACCA na wengine bila kuwa na CISA au CFE/CFA hamtachukuliwa kwa vile taasisi ni ya kimataifa thats why nao wanaamriwa wachukue watu wenye hivyo vyeti
kama mjumbe naamini ku stick kwenye ujumbe very classified only " bearer of those certificates should mail us"
 
acha longo longo weka link watu wadondokee, au mpaka wakuone personal???
 
Herry,Mabagala na wenzio kama nlivyosema awali kama mko interested na mna vyeti husika ni PM nitawapa hiyo link otherwise kama ni kujaribu kama mtu unavyojaribu hapa na pale si rahisi, wenye CPA/ACCA na wengine bila kuwa na CISA au CFE/CFA hamtachukuliwa kwa vile taasisi ni ya kimataifa thats why nao wanaamriwa wachukue watu wenye hivyo vyeti
kama mjumbe naamini ku stick kwenye ujumbe very classified only " bearer of those certificates should mail us"
kwani ACCA sio ya kimataifa?
 
hao sio waajiri hao ila ni wababaishaji tu!Hadi kitu cha ACCA hawakikubali?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom