VACANCY: For anyone girl who qualified to be wife material

kabye

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
355
39
vigezo na mashaliti: 1. awe christian na awe mcha mungu 2. awe anatoka kanda ya ziwa 3. awe atleast na diploma yoyote bali isiwe polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku 4. age range 24-27 5. awe tayali kuishi seemu yoyote na mi nitapokuwa na fanya kazi 6. awe na upendo na mcheshi na mkalimu sana. atakayekuwa interested na mi nitampa contact through shortlist ambayo nitachaguwa.
 
Ze your advert is well noted and received. Ze today ze wikiend ze play ze dance, 4am wakija nitakukalibisha ukhabalishane nao
 
vigezo na mashaliti: 1. awe christian na awe mcha mungu 2. awe anatoka kanda ya ziwa 3. awe atleast na diploma yoyote bali isiwe polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku 4. age range 24-27 5. awe tayali kuishi seemu yoyote na mi nitapokuwa na fanya kazi 6. awe na upendo na mcheshi na mkalimu sana. atakayekuwa interested na mi nitampa contact through shortlist ambayo nitachaguwa.

hata mbinguni utaenda kwa masharti na vigezo kuzingatiwa.haya umeshanipata
 
ukishapata shortlist yako, hao wengine utakao wabwaga nitupie mie basi
 
vigezo na mashaliti: 1. awe christian na awe mcha mungu 2. awe anatoka kanda ya ziwa 3. awe atleast na diploma yoyote bali isiwe polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku 4. age range 24-27 5. awe tayali kuishi seemu yoyote na mi nitapokuwa na fanya kazi 6. awe na upendo na mcheshi na mkalimu sana. atakayekuwa interested na mi nitampa contact through shortlist ambayo nitachaguwa.

Nina sifa zote bali utanipa shida ya mawasiliano, ikiwa lugha ni hii
 
Mtani vipi? Kiswahili NO kidhungu NO!

Anyone girl, tayali,seemu, mkalimu.

Diploma isiwe ya polisi au yeye asiwe polisi? Ningekupa housegirl wangu lkn umeshaniudhi.

Olalege
 
chamuimu ni kuwelewa ujumbe na sikukosowa ujumbe. unaweza ukakosa nafasi kwa kuangalia maneno. plz write msg or call not otherwise
 
contact: 0788903153. tuma msg au piga usibipu plz. kama akuusu usilete utani. this is serious issue don't joke plz-plz.
 
lugha kitu gani ndiyo maana wa china na indian people wana tutawala wa Tz kwa sababu iyo, tunakaa kuangalia vitu ambavyo simuim sana kiivyo mwisho wa siku tunaona wanateka ajira na uchumi kwaujumla.
 
loooh there goes again...chamuimu, simuimu, akuusu. I will have sweet dreams after this.
 
Vigezo na Mashariti:
1. Awe christian na awe mcha mungu
2. Awe anatoka kanda ya ziwa
3. Awe atleast na diploma, bachelor, master yoyote bali isiwe ni polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku. Ata kama ujapata kazi unaweza uka apply.
4. Age range 23-27 yr old
5. Awe tayari kuishi sehemu yoyote nami nitapokuwa na fanya kazi
6. Awe na upendo na mcheshi na mkarimu sana.
7. Awe aja zaa au kutoa mimba.
Atakayekuwa interested contact: 0788903153. Tuma msg au piga usibipu plz. kama akuusu usilete utani. This is serious issue don't joke plz-plz.
 
vigezo na mashaliti: 1. awe christian na awe mcha mungu 2. awe anatoka kanda ya ziwa 3. awe atleast na diploma yoyote bali isiwe polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote ya usiku 4. age range 24-27 5. awe tayali kuishi seemu yoyote na mi nitapokuwa na fanya kazi 6. awe na upendo na mcheshi na mkalimu sana. atakayekuwa interested na mi nitampa contact through shortlist ambayo nitachaguwa.

duh!kweli wadada wanaonekana wana dhiki ya ndoa.mpaka mtu kutangaza kama nafas za kazi.umeniacha hoi kabisa uliposema unashort list.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom