Bourgeoisie
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 656
- 162
Napendekeza kauli mbiu ijayo iwe ni VAA GWANDA PIGA KWATA. Kupiga kwata hapa kunatafsirika kuwa baada ya kuvua gamba watu wetu wanahitaji kupewa semina juu ya kutambua na kusimamia haki zao. Kupewa semina juu ya nani mwenye kuleta maendeleo ya kweli. Kwa ujumla wakomangwe/wafundwe wasikubali kurubuniwa kwa namna yoyote ifikapo 2015.
Nawasilisha.
Nawasilisha.