Uzuri

Halafu hapa Dar angalau haka kajoto kanatakatisha watu ngozi.Mbeya nadhani wanaongoza kwa kujichubua(PEPSI/MIRINDA )na mbaya zaidi wanawake wengi wana ndevu.Sasa na lile baridi ndio inakuwa balaa.
 
afu siku hizi mbona wanakuwa na rangi ya pink na mautango tango usoni? yaani kama wana mba kwenye ngozi vile......wanakuwa wachafu hutaki hata kumwangalia mara mbili.....usiombe jua liwake wanakoma, afu wanaota ndevu, n akusweat bila mpango hadi kwenye kope za macho.....

tabu yote ya nini????????????????????????

mimi mwanamke wa kujichuwa ngozi yake cjawahi kumwona msafi kamwe, ninavyomuona usoni alivyo na rangi mbili ukute na joto/jua kali, khaaa....dearest leo unanitolea vibomuuu.
 
mimi mwanamke wa kujichuwa ngozi yake cjawahi kumwona msafi kamwe, ninavyomuona usoni alivyo na rangi mbili ukute na joto/jua kali, khaaa....dearest leo unanitolea vibomuuu.

yaani dearest mimi leo mwenzio acha tu.....

naona tumejikatia tamaa y amaisha acha tu tujichune weeeeeeeeee mwishowe tutokwe damu......

umaskini wa fikra mbaya bora wa pesa
 
Dada zetu wa kimaasai wanaujua ukweli kuhusu being natural, wanapakaa only siagi ya ng'ombe....huo ndio mtoko wao na wanapendeza sana, subiri dada zetu wa hapa mjini kama hawajarudi kuiga kutoka kwa wamasai kama wanavyonyoa upara sasa....U see them r lokin bitiful!
 
Noname hapa wanazungumzia ile mtu kujichua na ngozi yako kabisa, ile mkorogo umewekwa mafuta ya transfoma na jik cjui na nini na nini khaa.
aha ok mie nilisoma ile post ya kwanza tuu nikaona hakuna tabu kujicream lolllllllllll
OMG sasa hiyo jik na mafuta ya transforma ni acid naona itaharibu sana uso... ppl are out of their mind....
 
Dada zetu wa kimaasai wanaujua ukweli kuhusu being natural, wanapakaa only siagi ya ng'ombe....huo ndio mtoko wao na wanapendeza sana, subiri dada zetu wa hapa mjini kama hawajarudi kuiga kutoka kwa wamasai kama wanavyonyoa upara sasa....U see them r lokin bitiful!
Ila apo umetudanganya lolllllllllll hiyo siagi ya ng'ombe wont work on all skin types...
 
Napenda kuelimishwa kwani uzuri wa mwanamke ni nini? Mambo gani ya muhimu ya kucheki? Kila mtu ana indicators au features zake zinazojulisha kuwa ni mzuri au mbaya. Pse nijuze.
 
Kwanza Cream sio uzuri bali ni ulimbukeni tu hasa pale mtu utakapojua madhara yake..unaweza leo kuamka uso ungang'aa kwa wale watumiaji kesho ukiuangalia uso huo huo umefubaa kisa!
Uzuri wa kweli ni ule wa kuzaliwa uzuri usio na mkorogo uzuri usiochosha kuutizama
 
Ila apo umetudanganya lolllllllllll hiyo siagi ya ng'ombe wont work on all skin types...

Na pia inategemea wamasai ndio asili yao kuanzia anazaliwa anatumia hayo mafuta yanazoea ngozi yake

Black bila mkorogo inawezekana

feb-09-ymib-jeneil-williams2.jpg
 
Mambo mengine ambayo wanadamu tunafanya, inabidi tujifikirie mara mbilimbili. Ishu ya kujichubua ngozi yako na vitu kama hivyo, ni sawa na kumwambia 'Sir God' "HAPA ULIKOSEA ULIPOKUWA UNANIUMBA. INATAKIWA NIWE HIVI..". Sikilizeni dada zangu mnaofanya hivi... Nyinyi ni wazuri sana kuliko huo uzuri mwingine mnaotafuta. Hata Mungu analijua hili, na alijua kwa kukuumba black ndio unakua 'wa ukweli!!!'. Tuacheni kumkosoakosoa Mungu, tunakera. Halafu eti naskia kuna washkaji, na wao pia wanatumia mkorogo....duh!
 
Dada zetu wa kimaasai wanaujua ukweli kuhusu being natural, wanapakaa only siagi ya ng'ombe....huo ndio mtoko wao na wanapendeza sana, subiri dada zetu wa hapa mjini kama hawajarudi kuiga kutoka kwa wamasai kama wanavyonyoa upara sasa....U see them r lokin bitiful!

duuh .... sasa hiyo harufu ya siagi ya ng'ombe kama ni wife wako ukitaka kumega utaweza kuvumilia kweli hiyo harufu?? si ni full shombo, kichefuchefu na kinyaa hapo?? me nadhani wanachofanya mabinti wa pwani hasa tanga ni kizuri zaidi, using mafuta fulani ya asili (ya nazi??) plus scenting flowers inapendeza na kuvutia zaidi. Lakini harufu ya ng'ombe?? ..... phuuuu! me i can't withstand it even for a minute!!
 
Kwanza Cream sio uzuri bali ni ulimbukeni tu hasa pale mtu utakapojua madhara yake..unaweza leo kuamka uso ungang'aa kwa wale watumiaji kesho ukiuangalia uso huo huo umefubaa kisa!
Uzuri wa kweli ni ule wa kuzaliwa uzuri usio na mkorogo uzuri usiochosha kuutizama
Kweli FirstLady madhara yake ni makubwa kuliko faida... pia ngozi ya uso ni very delicate mie na shangaa watu kutumia chemicals... ukisha messed up with ur face then its very difficult to get rid of marks...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom