Uzuri

unawashari nini madada zetu

Broda! Hata ukiwashauri vipi... Watajikoroga kwa kujificha. Muhimu anayeelewa.. AACHE kutumia MKOROGO. Siomzuri kwa afya! Inawezekana vipp mtu ukawa mweupe usoni lakini miguu myeusi kama KIWI?
 
Lakini mie naona tatizo lipo hasa kwa WANAUME.Wanaume wengi wanabeza wanawake natural kwa kuwaambia eti'hawajui kuoga'Hii ndio inawafanya wadada wajichune ili wapendwe(sina maana kuwa ni kitu kizuri).Wanaume mkibadilika na kuwa wazalendo na wanawake nao watabadilika.
 
Halafu na wewe bht una Bahati sana.Unawafanya watu wengi wakuige kumbe wewe kanachuro bana.
hahaaaaa
ntafuta na mi yakunifanya niwe na ngozi kama yako charity, wachina naona wameshindwa kutengeneza hiyo.

sasa hapo ndo tungetumia akili kutambua jinsi gani ngozi nyeusi ilivo na thamani...hata haifojiki, lakini wapiiiiiiiii bongo lala!!!
 
Dearest, cheka tu maana kila kukicha bora jana, leo mambo ya mbayuwayu ndo hivo...
tena hao wa 'ngwasuma' (wote mi nawaita ngwasuma tu hata fm akademia sijui) ndo wenyewe....kama mapapai vile

mambo gani unaulizia?? leo utapokea wgonjwa wengi tu ICU we subiri
Mambo ya mgomo! Sitaki mahututi wa mgomo bana
 
Ukuacha mkorogo siku hizi kuna shepu za dukani.
Unaenda Kariakoo unapata kila kitu hips, kalioz, kaobeli n.k.
 
hahaaaaa
ntafuta na mi yakunifanya niwe na ngozi kama yako charity, wachina naona wameshindwa kutengeneza hiyo.

sasa hapo ndo tungetumia akili kutambua jinsi gani ngozi nyeusi ilivo na thamani...hata haifojiki, lakini wapiiiiiiiii bongo lala!!!
Kweli una akili sana,unafaa hata kuwa waziri wa ajira na kazi labda ungeleta majibu kwa wafanyakazi.Aisee Black is beauty,haifojiki kirahisi.Hadi wachina wamechemsha?????!!!!!!
 
unataka kusema naweza kumzidi hata mzee wa Mbayuwayu au sio????

zamani nilikuwa nafikiri wanaojichubua ni wale wasio na elimu, waswahili swahili dizaini...lakini kumbe I was so wrong loh!!!
 
mi sijichubui sina mpango na ni mweusi.........wanawake wanaojichubua sijui wakoje mashavu mekunduuu.....mikono imewalepeta aaaaaaaaaaah mmmmmmmmmmm aaaah ahhha......vidole na makwapa utafikiri walipaka rami ngozi y agoti haichubuki basi weeee
 
Haswaaaaaa.kama ulikuwepo.lakn nisiseme sana kuna uw..........
 
Lakini mie naona tatizo lipo hasa kwa WANAUME.Wanaume wengi wanabeza wanawake natural kwa kuwaambia eti'hawajui kuoga'Hii ndio inawafanya wadada wajichune ili wapendwe(sina maana kuwa ni kitu kizuri).Wanaume mkibadilika na kuwa wazalendo na wanawake nao watabadilika.

hapo wanakutana na wanamwake wasiojiamini.....
 
mi sijichubui sina mpango na ni mweusi.........wanawake wanaojichubua sijui wakoje mashavu mekunduuu.....mikono imewalepeta aaaaaaaaaaah mmmmmmmmmmm aaaah ahhha......vidole na makwapa utafikiri walipaka rami ngozi y agoti haichubuki basi weeee

watu mna vituko mpaka bac, nimecheka sana.....
 
kwani kujicream kuna tatizo gani? I will not sit here an lie to u eti situmii creams...I use creams that helps my facial skin to look soft and glowing... kuna moisturizing cream, anti wrinkles creams anti acne creams...night creams, day creams etc
 
mabina vipi apo umeandika kikwenu au mrembo Charity kakuchanganya? huyo ana 'mtu' tayari

Hahahahahahaaaa.shemeji upo kweli? mie nina wasiwasi sana juu yako.Nahisi kama nimekupoteza vile.Nashangaa leo umeibukia toka wapi au ndio jana walikukatalia kuingia kwenye hotuba ya mh wakati na wewe ni 'mzee'?

attachment.php

Kaizer akizuiwa kuingia Diamond????
 
kwani kujicream kuna tatizo gani? I will not sit here an lie to u eti situmii creams...I use creams that helps my facial skin to look soft and glowing... kuna moisturizing cream, anti wrinkles creams anti acne creams...night creams, day creams etc

tunazungumzia kujichuna ngozi yako ya asili ili uwe mweupe hapa.........
 
Hahahahahahaaaa.shemeji upo kweli? mie nina wasiwasi sana juu yako.Nahisi kama nimekupoteza vile.Nashangaa leo umeibukia toka wapi au ndio jana walikukatalia kuingia kwenye hotuba ya mh wakati na wewe ni 'mzee'?

attachment.php

Kaizer akizuiwa kuingia Diamond????

B hakuwa siriaz, angekanyaga hilo kapeti na hizo ndula zilizo beba tope la jangwani??
 
watu mna vituko mpaka bac, nimecheka sana.....

afu siku hizi mbona wanakuwa na rangi ya pink na mautango tango usoni? yaani kama wana mba kwenye ngozi vile......wanakuwa wachafu hutaki hata kumwangalia mara mbili.....usiombe jua liwake wanakoma, afu wanaota ndevu, n akusweat bila mpango hadi kwenye kope za macho.....

tabu yote ya nini????????????????????????
 
kwani kujicream kuna tatizo gani? I will not sit here an lie to u eti situmii creams...I use creams that helps my facial skin to look soft and glowing... kuna moisturizing cream, anti wrinkles creams anti acne creams...night creams, day creams etc

Noname hapa wanazungumzia ile mtu kujichua na ngozi yako kabisa, ile mkorogo umewekwa mafuta ya transfoma na jik cjui na nini na nini khaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom