Uzuri wa mwanamke...

Karibu sana mpwa Mosquito tumekumiss kweli kweli karibu mwana mpotevu.
Naona mlikuwa njia moja na Nyani Ngabu nae karejea.
Kwangu uzuri wa mwanamke ni al-batar

Hahahahahahaha wee na bata tu :)...beauty is in the eye of beholder

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=2EwViQxSJJQ&feature=related[/ame]
 
Uzuri wa mwanamke mie naona ni hurka ya mtu ambaye anampenda,wengine hupenda tumbo mfano akiona mwanamke anaoga na tumbo lake flat,wengine hupenda vikwapa kaka...na sauti pia jamani tusiisahau maana wengine hufall in love kwa sauti ya mtu tu..
 
Naona ni mfuko wake

............Hahahah ila kuna ukweli nadhani uzuri wa mwanaume pesa, maana utakuta binti mzuri anatoka na mwanaume mhhhhhhh wala siongei.........maana mwanaume akiwa na pesa atapata tu msichana mzuri.
Ila mie uzuri wa mwanaume sura,umbo, urefu kiasi ,tabia nzuri na financially awe stable.........lol
 
Unaongelea uzuri ktk muntadha upi? Maana kuna uzuri wa tabia na uzuri wa muonekano(sexy body)
. Nikija kwenye hoja yako, uzuri wa mwanamke(jinsia) upo kwenye muonekana wa anayetizama ingawa wapo ambao wanawavutia wengi. Kwa upande wa mwanamke(kimahusiano) upo kwenye tabia/maadili yake.
Bye
 
............Hahahah ila kuna ukweli nadhani uzuri wa mwanaume pesa, maana utakuta binti mzuri anatoka na mwanaume mhhhhhhh wala siongei.........maana mwanaume akiwa na pesa atapata tu msichana mzuri.
Ila mie uzuri wa mwanaume sura,umbo, urefu kiasi ,tabia nzuri na financially awe stable.........lol


....na pia upstairs awe na akili sio debe shinda.....lol
 
mtu chanke apendacho hakina hila machoni;
huridhika kuwa nacho japo hakina thamani;
kibaya chako kizuri cha mwezio
uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia

uzuri wa mwaname ni asili yake sio nywele za bandia; meno ya kuchonga, hips la kichina, jicho la kungwi, midomo ya lipstick, rangi ya mirinda pepsi, mengine utajaza.......
 
Kama tunazungumzia mwonekano wa mwanamke, then mimi naamini beauty ni property ambayo ipo independent na mtizamaji (kama mtizamaji hajauona huo uzuri, haina maana haupo!).

Ni kama kwa mfano mtu ametoka kula muwa au nanasi na kisha aende kunywa chai, mara nyingi hata kama chai ina sukari nyingi, mnywaji atalalamika chai 'haina' sukari ya kutosha. Sasa, kimsingi hapa mnywaji hajaweza kutaste sukari iliyomo kwenye chai lakini hii haina maana kwamba chai haina sukari. Hapa ule 'utamu' wa chai ndio kama 'uzuri', kama upo, upo tu hata kama mtu fulani kwa wakati fulani hauoni.

Uzuri unahitaji kwa uchache vitu vitatu:
1. Mpangilio wa jumla wa viungo vyote vya mwili (composition), yaani kiungo kipi kimekaa wapi. Baina ya viungo kuna order yoyote? symmetry? assymetry?
2. Uhusiano wa size za viungo mbalimbali (proportion), mfano size ya kichwa ina uhusiano gani na kiwiliwili.
3. Umakini wa viungo mbalimabli (clarity), mfano kiwiliwili kieleweke kinaishia wapi na mapaja/miguu yanaanzia wapi? Vipi kuhusu rangi pia za viungo mbalimbali?
 
damnnn..uzuri wa mwanamke mashine iwe fresh kunako shughuli..maana katika kusifia sura..tabia..na mengineyo yoote mwisho wa siku kama mashine pwakapwaka mpaka uingie na ndoo uteke mimaji ...HAKUNA CHA UZURI WALA NN....

uzuri wa kiumeni UIJUE SHUGHULI...kunako game mzeiya uwe unajituma na kupiga mikuno ya ajabuajabu....lazma hapo kila binti kitaa akisikia tuu atajitahidi akupate kidume kizuri...
 
............Hahahah ila kuna ukweli nadhani uzuri wa mwanaume pesa, maana utakuta binti mzuri anatoka na mwanaume mhhhhhhh wala siongei.........maana mwanaume akiwa na pesa atapata tu msichana mzuri.
Ila mie uzuri wa mwanaume sura,umbo, urefu kiasi ,tabia nzuri na financially awe stable.........lol

Heshima kwako Pretty,

Mbona kama nina vigezo vyote ulivyo vitaja,sijui itakuwaje ?.
 
Uzuri wa mwanamke ni tabia sio sura ..
Baada ya hapo kila mtu ana uzuri wake wa asili ..mwingine ana macho mazuri ,nywele ,masikio ,pua,midomo au hata anatembea vizuri ,wengine watasema colour yake ina mvuto.
Lakini kinachobeba yote ni tabia yake

Tabia nadhani inakuja kujulikana baadae, kinachokuita first yawezekana ikawa sura, body maphology yake, ukiridhika na hilo unaanza kuchunguza sasa tabia, mwenendo wake na mengine kama hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom