uzuri wa mwanamke...

KIDHEHA

Member
May 21, 2012
51
14
habari tanzania....nimekua nikisoma sana posts nyingi sana za kuhusu wanawake...mara wadau wanasema hawa wa kabila hili wazur zaidi mara hawa malaya zaidi...mi nataka niwaaambie ukweli uliothibitishwa...mwanamke hachaguliwi kwa kabila,anachaguliwa kwa tabia...ilikua zamani sasa hivi unaweza mkuta mwanamke wa kichaga kicheche kuliko mpare,mhaya kicheche kuliko mrangi nk...so tafadhali msiwajudge wanawake kwa makabila yao,,,,mnajidanganya sanaaaaaaaaaaaaa................umalaya ni tabia ya mtu...tumwombe Mungu atupe wake wa kufanana nasi....
 
Well said Mkuu, kama wewe ni kicheche basi heri upate kicheche mwenzio mana ukimpata mwenye tabia nzuri utamuumiza bure mtoto wa watu, vivyo hivyo kwa wanaume waliotulia wawapate waliotulia kama wao
 
Hapana kwakweli mimi kuna makabila sitiii pua hata iweje! Unafanya mchezo KABILA ZIMA / KIJIJI KIZIMA KINATEKETEA KWA NGONO???? @ MAKETE 1999!!!!!!! Mimi bwana kuna maeneo sigusiiiiiiii! Tabia zaenda na GENETICS atiiii!
 
huyo mwanamke unampata katika mazingira gani maana kwa kizazi cha sasa kabila analitaja tu pale atakapoulizwa lakini ukimfuatilia hata huko kwao hapajui na hiyo lugha yao haielewi (sasa mtu wa namna hii unamweka kundi gani). Nadhani makabila hayana msingi sana kikubwa ni kuangalia background ya familia yao ikoje nadhani ndio itatoa muelekeo wa tabia ya mkeo mtarajiwa ikoje)
 
Mmh..!! kuna makabila mengine guyz acheni kabisa.., uthithubutu kuyaweka ndani yaani utaumia vibaya sana, yani hayo ni kweli chupi zipo magotini
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya tabia na uzuri,hivyo basi tunapojadili uzuri tujitahidi kuutenganisha na tabia.labda tuuulize hivi''ni upi ubora wa mwanamke maana hapa tutachambua kwa ujumla wake na kwa tofauti stahiki''ni maoni tu.
 
Back
Top Bottom