Uzuri wa mwanamke upo wapi? Ni upi?

Yapo maono ambayo sijui kama yamethibitishwa au ni ya kihisia tu ya kuwa na yanayodai kuwa "usafiri" kwa maana miguu ya mwanamke inakupa picha ya "uzuri wake" kiundani au sijui niseme kinguoni zaidi.ninajaribu kutumia maneno ambayo hayakwaruzi............lakini ninaamini nimeeleweka...........................

Swali langu huu utafiti wa "usafiri" kuthibitisha "uzuri" wa mwanamke umefanyika lini au kwa namna gani na je kuna ukweli kwenye hilo?

mi nafikiri umekosea kwenye "conceptual framework"

hizo hizsia zipo na tunajua kuwa zipo na zimechochea hata baadhi ya mitindo ya mavazi kutamalaki. mfano vazi la mini skirt au pensi nk huvuta sana macho ya wanaume kwa sababu huweka wazi miguu {usafiri). lakini ki-ukweli mwili mzima wa mwanamke huvuta sana hisia za mwanaume, iwe nyayo, nywele, mabega, viwiko nk. huko "nguoni" unakosema nafikiri hata wewe unajua ni danger zone! pakiachwa wazi huwa ni zaidi ya kuvutia, inaweza kusababisha "maafa" huko nguoni wanawake wote wanavutia hakuna mwenye miguu au mlemavu wa miguu, mwenye matege au misonobari/milonjo, ukipafikiria huko unakuwa uko step ya juu zaidi ya hizo hisia za miguu.

hayo ni maumbile ya kibinadamu tu na hakuna tatizo

so mi naona ulichokosea ni ku-conceive kuwa "kuna hisia kuwa "usafiri" hutoa picha ya undani/nguoni mwa mwanamke". ulipaswa ku-conceive kuwa "kuna hisia kuwa "usafiri" ni moja ya maeneno yanayovutia mwilini mwa mwanamke"

ni mtazam wangu tu,
 
Susy hawa ndo mana wanauziwaga mbuzi kwenye gunia, na tunawapatia haswa, ukiona wanashobokea hips, nenda kwa mchina, mshahara wote mwisho wa mwezi anakukabidh, miguu kwa mchina pia ipo, weupe ndo usiseme! Wamesahau UZURI wa mwanamke sio hips, miguu, weupe, weusi n.k. Kazi wanayo.

umesema ukweli sana waambie 'what you see is not always what you get"...furahia weekend yako!

teh teh teh u have make my wk end my love!!!

wataisoma no!! kama ni plate no ya gari au ndio no ya simu!!!
:fear::fear::fear:
 
PHP:
Naona hii mada ni ya nyie guys, maana mnaelewa zaidi...  Alaf thread za safari hii naona mmetuapania!

yaani umeuelewa ujumbe wenyewe......only men can answer this question.....ila nanyi mnaweza kuzungumzia yale ambayo huwa mnayasikia au kuyasikilizia......................kuwa vipimo vinasemaje......................
 
Suzy vp? au usafiri wako ni ule wa kanda ileee??

we jambazi hembu tulia!!!

iwe vyovyote mimi namshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi!!! kwa maana ameniumba kwa mfano wake!!!

Namtukuza Mungu hivi nilivyo, rikabobosika ya mandooo!!! pokea Mungu sifa na utukufu maana unastahili!!! Nakuinua Jehova mwenye enzi zote kwa jinsi nilivyo!!
 
PHP:
Naona hii mada ni ya nyie guys, maana mnaelewa zaidi...  Alaf thread za safari hii naona mmetuapania!

yaani umeuelewa ujumbe wenyewe......only men can answer this question.....ila nanyi mnaweza kuzungumzia yale ambayo huwa mnayasikia au kuyasikilizia......................kuwa vipimo vinasemaje......................
Usafiri Ruta sometimes kweli huwa unachangia and definitely una turn mens heads mjini
 
PHP:
mi nafikiri umekosea kwenye "conceptual framework"

hizo hizsia zipo na tunajua kuwa zipo na zimechochea hata baadhi ya  mitindo ya mavazi kutamalaki. mfano vazi la mini skirt au pensi nk  huvuta sana macho ya wanaume kwa sababu huweka wazi miguu {usafiri).  lakini ki-ukweli mwili mzima wa mwanamke huvuta sana hisia za mwanaume,  iwe nyayo, nywele, mabega, viwiko nk. huko "nguoni" unakosema nafikiri  hata wewe unajua ni danger zone! pakiachwa wazi huwa ni zaidi ya  kuvutia, inaweza kusababisha "maafa" huko nguoni wanawake wote wanavutia  hakuna mwenye miguu au mlemavu wa miguu, mwenye matege au misonobari,  ukipafikiria huko unakuwa uko step ya juu zaidi ya hizo hisia za miguu. 

hayo ni maumbile ya kibinadamu tu na hakuna tatizo

so mi naona ulichokosea ni ku-conceive kuwa "kuna hisia kuwa "usafiri"  hutoa picha ya  undani/nguoni mwa mwanamke". ulipaswa ku-conceive kuwa  "kuna hisia kuwa  "usafiri" ni moja ya maeneno yanayovutia mwilini mwa  mwanamke" nasema  hivyo kwa sababu 

ni mtazam wangu tu,
Usafiri Ruta sometimes kweli huwa unachangia and definitely una turn mens heads mjini

Labda nifafanue zaidi kinachoongelewa hapa ni kuwa sio uvaaji wa nguo ila maumbile ya miguu ya mwanamke inatoa picha ya mashine yake ....................kama ni tamu au la....................................
 
we jambazi hembu tulia!!!

iwe vyovyote mimi namshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi!!! kwa maana ameniumba kwa mfano wake!!!

Namtukuza Mungu hivi nilivyo, rikabobosika ya mandooo!!! pokea Mungu sifa na utukufu maana unastahili!!! Nakuinua Jehova mwenye enzi zote kwa jinsi nilivyo!!

Umeanza kunena kwa lugha,,,kuna topic kule kaijibu kwanini huwa unanena kwa lugha?
 
PHP:
we jambazi hembu tulia!!! 

iwe vyovyote mimi namshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi!!! kwa maana ameniumba kwa mfano wake!!! 

Namtukuza Mungu hivi nilivyo, rikabobosika ya mandooo!!! pokea Mungu  sifa na utukufu maana unastahili!!! Nakuinua Jehova mwenye enzi zote kwa  jinsi nilivyo!!

Memorable jeremiad.......................................yet brimming with loathing............
 
kwani kaka Ruta wewe hujafanya hvyo vpimo utupe jb?
PHP:
Naona hii mada ni ya nyie guys, maana mnaelewa zaidi...  Alaf thread za safari hii naona mmetuapania!

yaani umeuelewa ujumbe wenyewe......only men can answer this question.....ila nanyi mnaweza kuzungumzia yale ambayo huwa mnayasikia au kuyasikilizia......................kuwa vipimo vinasemaje......................
 
PHP:
Usafiri unaozungumziwa hapa ndo upi?[IMG]https://www.jamiiforums.com/images/styles/JamiiForums/smilies/A%20S%2039.gif[/IMG]

Usafiri=miguu ya mwanamke..................

utasikia vijana wakidai ah.angalia usafiri wake hakuna kitu pale mdabwada tu.................
 
PHP:
kwani kaka Ruta wewe hujafanya hvyo vpimo utupe jb?

Yaani sweetlady mimi bado ni bikira kwa hiyo nikitoa majibu ni ya kujitungia tu au ya kusikia na ndio maana nimeuliza................
 
Yapo maono ambayo sijui kama yamethibitishwa au ni ya kihisia tu ya kuwa na yanayodai kuwa "usafiri" kwa maana miguu ya mwanamke inakupa picha ya "uzuri wake" kiundani au sijui niseme kinguoni zaidi.ninajaribu kutumia maneno ambayo hayakwaruzi............lakini ninaamini nimeeleweka...........................

Swali langu huu utafiti wa "usafiri" kuthibitisha "uzuri" wa mwanamke umefanyika lini au kwa namna gani na je kuna ukweli kwenye hilo?

Mkuu ukweli ni kwamba wanaume tumetofautiana katika kuuchambua uzuri wa mwanamke.

Mimi kama babu kitu cha kwanza kuangalia ni SURA. Awe na usafiri kama wa trekta afu na sura kama ya kobe babu atamtakia wapi?....Akishakuwa na sura nzuri, awe na tabasamu pana, siyo anatabasamu utafikiri kawashwa na pilipili. Then awe mcheshi, siyo ananuna kama Lucy Kibaki....Hapo si tumeweka mbali tabia siyo?

Mwanamke awe na sura ya kuvutia bana. Kama ana usafiri mbaya atavaa suruali.....Kwisha habari yake. Usafiri utakuwa siri yake na yangu kwenye sita kwa sita.
 
Back
Top Bottom